Kenyans writing PHD thesis for British Students

Kenyans writing PHD thesis for British Students

Janja janja kwa wakenya haijaanza Leo
Hip sio sifa ya kujifisia ni upuuzi na uzwazwa was hao PHD candidates .
Eti hili nalo ni la kujisifia hahahah
Wakenya bhana watu waajabu ajabu tu
Nchi iko na hunger and famine badala ya kusolve hizi ishu kwa kuanzia miradi ya kilimo cha kumwagilia nchi iwe na chakula cha kutosha .
Mnakuja kujisifia uouuzi hapa wankenya wenzenu wanakufa njaa
Stupid typically Kenyan citizens
African typically mindset
Goddamn it
Sent using Jamii Forums mobile app
vp..watu wa kagera mliwapa chakula au bado jiwe kasema ni wavivu wakalime...bwahahaaaa...mko na stalk lkn watu mtaani vyuma vimekaza...

kwanza kumbe huna akili...tutkana ni jangwani...wao ni wafugaji na wanategemea matunda ya mwituni...km ni chakula mbna kisha wamepelekewa...endeleeni kuwa wanafki tu...sisi mkipatwa na jangwa lazima tuwasaidie..nyinyi bakini na wivu tu...
 
harafu niriona wakenya wamewaibia rugha yenu ya kiswahiri.Huko justlearn tutors wengi wa Swahili ni wakenya. Mtzedi ni mmoja.
Wakenya kwa kuchangamkia opportunities hawajambo.
Uriona eeh, hata na mimi pia niririona jambo rire rikanishangaza kweri kweri. Harafu huyo mmoja arikuwa amefuga milasta kwenye rikichwa rake. Haireti laha kabisa. Hiyo lugha huwa inanikosha, nilikuwa na rafiki yangu flani tena hata hakuwa mkuria, alikuwa mnyamwezi. Alikuwa anaongea hivyo alafu yeye ndio alikuwa kiranja darasani. Ludi kure Swareh, nimekuambia ludi kure! 😀
 
😁😁😁😁😁hadi raha. Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.
 
😁😁😁😁😁hadi raha. Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.
kisha hujipiga kifua km kiswahili ni cha watanzania...siku zote lugha km si yako utajulikana tu kwenye matamshi ya kiboya km ayo...

yani mtu unaandika vyenye unatamka..yani sawa na kukaririshwa vile...
 
hadi raha.Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.
Mimi huwa naona ikiwa freshi tu, ni identity. Kuna mtu aliniambia ukiskia mtu akiongea hivyo au kwa lafudhi yeyote ile nyingine jua kwamba huyo mtu anafahamu na kuongea lugha mbili au zaidi kwa ufasaha.
 
Hata wakenya wengi wanaongea kiswahili kibovu sana lakini wanaandika vizuri. Kuna wale r na l ni tatizo kutamka but wanaandika vizuri.
Kwanza wakenya wanapenda kuchekana sana kwa sababu ya lafudhi. Wanakera sana
 
Nimekuelewa, hapo kwa kuandika kweli ni tatizo sanasana kwa mtu ambaye amesoma. Ila mtu kuongea lugha nyingine na lafudhi ya kwao sio jambo la kushangaza, ni identity tu.
 
kisha hujipiga kifua km kiswahili ni cha watanzania...siku zote lugha km si yako utajulikana tu kwenye matamshi ya kiboya km ayo...

yani mtu unaandika vyenye unatamka..yani sawa na kukaririshwa vile...
"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi ya writing nimefanya miaka mingi sana. Started out as an article writer before graduating to academic writing. Most academic writers are found along the stretch of Thika road, from Roysambu all the way to Thika town with a good majority of them being Kenyatta University students. I know of several people who do it as a full time job. Kuna watu wamenunua hadi magari kupitia hii kazi so it's true when the writer says 'Kenya is the hotbed of academic writing.' Sisi ni watu wa kijituma sana and grabbing every little opportunity
 
Do you think I'm jobless like you who move from Twitter to Facebook to YouTube to Google to Instagram in search of consolation. It's only jobless people like you that keeps talking how jobless other people are to cover your wound. My friend you're alone in that bracket.

Sent using Jamii Forums mobile app
jobless la kikenya likitema povu jingi.
wewe ni mmoja ya asilimia 40 ya wakenya wasio na ajira. kuandika kwako kingereza hakukuondoi kwenye kundi hilo. povu ruksa.

btw niko kwa barabara asubuhi hii nikienda job, wewe bado uko kwa bed umelala. ni kawaida kwa majobless kuamka at 9-10am.
 
Ahaaa haaa haaa
Which Europe r u talking about brother?

Kwa Mada kama hii mkuu sijui kwanini umeshuka hadi kwenye level ya Hivi Vijamaa, most of them ni undergraduates, Please mada zingine acha tu zipite,
 
That comment you just quoted was meant for ichoboy01.

Wakenya ndio wanafundisha kiswahili nchi za nje. Hata waafrika kusini wakihitaji walimu nina uhakika wakenya watachangamkia hii fursa.
Ama wabongo wameshaenda tayari?

Nikisema napenda KUONGEA na WATU WENYE UELEWA wa juu na WALIOSOMA, unaanza kuwa mnyonge.
 
Nikisema napenda KUONGEA na WATU WENYE UELEWA wa juu na WALIOSOMA, unaanza kuwa mnyonge.
Haya basi. Afadhali wale hukaa kimya kuliko wale hujifanya magwiji wa kila kitu and end up typing nonsense.naona game over amekuonya dhidi ya kuongea na watu ambao HAWAJASOMA na WENYE UELEWA FINYU.
But muache wivu bana.
Asubuhi njema!
 
Back
Top Bottom