Kenyans writing PHD thesis for British Students

Kenyans writing PHD thesis for British Students

Hahaha ichoboy01 endelea kujiliwaza na vitakwimu vyako vya kuungaunga. Wakenya hawategemei serikali linapokuja swala la ajira. Wengi wamejiajiri. Halafu nyie mnahesabu hata yule ankoo muuzaji makaa pale CBD kama employed tofauti na kenya
Wameajiriwa na nani ???? Inamaana takwimu zinasema uongo???😆😆😆😆 haya niletee official source inayosema 40% ambayo wanasema ni unemployment rate ni wale self employed😆😂😂😂😂😂 ukiniletea mm nafunga jamii forum
 
Kenyan human capital/resource is unmatched in africa..you will not find it anywhere in africa..only zimbabwe used to be at per but their but economic down turn has taken toll on their perfomance..kenya human resource is a well oiled machine that is always turbo charging our economic engine...its whats gives kenya so much omph despite lack of natural resources....Nairobi is now the de facto capital of multi-nationals companies in Africa.
Mbali na yote haya kitu ambacho Kenya haijafanikiwa ni kutokomeza matatizo makubwa ya kijamii. Huwa najiuliza mnashida gani? Mnaachieve vitu vikubwa sana as you ( Kenyans always brag) lakini vitu vya msingi vinakuwa shida kwenu...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hawa ni wivu tu inawasumbua. Achana nao
Hakuna mtanzania mwenye wivu na kenya hakuna na hatatokea unajua kwasababu gani, tanzania imeneemeshwa kwa kila kitu ndio maana hayupo mtanzania mwenye time na kenya
 
Wameajiriwa na nani ???? Inamaana takwimu zinasema uongo???😆😆😆😆 haya niletee official source inayosema 40% ambayo wanasema ni unemployment rate ni wale self employed😆😂😂😂😂😂 ukiniletea mm nafunga jamii forum
Mwambie aje Tanzania nitamfafutia hata ajira ya kuswaga hao ngombe kupeleka slaughter house.
 
Nakumbuka nikiwa college nilikua introduced Kwa hii kazi nilifanya kama assignment NNE za kawaida na mwisho nilikua na kama $100 Kwa account yangu ya PayPal ... Lakini hizo deadline zilinifanya nikose kuenda shule karibu wiki nzima ili nimalize hio kazi.... Kwa kifupi baada ya hapo sikujaribu tena manake nilijua sitawezana kukimbizana na ma deadline huku nikiwa na kazi zangu za shule, lakini hio $100 nili enjoy kumpeleka demu wangu village market for proper date na yote ikaishia hapo... By the time tunarudi nyumbani nilikua natumia pocket money yangu .. niliskia kaunchungu flani Yani mshahara wangu wa Kwanza ukaisha na siku moja na kademu hakajui vile niliteseka kupata hizo hela.... That was my first real life lesson of what it means to be a man
 
Unless umeajiriwa na JF, you spend your time in JF 24/7.
jobless la kikenya likitema povu jingi.
wewe ni mmoja ya asilimia 40 ya wakenya wasio na ajira. kuandika kwako kingereza hakukuondoi kwenye kundi hilo. povu ruksa.

btw niko kwa barabara asubuhi hii nikienda job, wewe bado uko kwa bed umelala. ni kawaida kwa majobless kuamka at 9-10am.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Job ya kulazy YouTube ama gani hiyo?
jobless la kikenya likitema povu jingi.
wewe ni mmoja ya asilimia 40 ya wakenya wasio na ajira. kuandika kwako kingereza hakukuondoi kwenye kundi hilo. povu ruksa.

btw niko kwa barabara asubuhi hii nikienda job, wewe bado uko kwa bed umelala. ni kawaida kwa majobless kuamka at 9-10am.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[/URL]
ichoboy01
Umeshindwa kuleta nilichokuomba 😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇 na sasa unemployment rate in tanzania is 12% wakat kenya ni 40% na ukiangalia population tanzania is 55m wakat kenya ni 50m tumia akili uliotoka nayo tumboni
 
Hakuna mtanzania mwenye wivu na kenya hakuna na hatatokea unajua kwasababu gani, tanzania imeneemeshwa kwa kila kitu ndio maana hayupo mtanzania mwenye time na kenya
Kama hakuna mtanzania ana haja na wakenya then why are you here trolling us? Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli itabaki pale pale
 
Back
Top Bottom