Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Tulishachukua ili tulipe deni la mchina. Kuongozwa na watu wengine ni laana tupu. Afadhali KIBAKI mara elfu.To all KenyansView attachment 1094190
Pole saana bt usihofu mambo yakiwa magumu zaidi nitakupa hifadhi kwenye maskani yangu kigoma manyovu tulime wote ndiziTulishachukua ili tulipe deni la mchina. Kuongozwa na watu wengine ni laana tupu. Afadhali KIBAKI mara elfu.
Very corrupt gov't
Hehe ona huyu..Leo ndio umejua Uhuru na Jubilee yake ni ma shithole? πππππTulishachukua ili tulipe deni la mchina. Kuongozwa na watu wengine ni laana tupu. Afadhali KIBAKI mara elfu.
Very corrupt gov't
Mkikuyu hiyo HUDUMA NAMBA inamaanisha nini?Hehe ona huyu..Leo ndio umejua Uhuru na Jubilee yake ni ma shithole? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechelewa sana
Umewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Kwa uongozi amefeli. I wish KIBAKI angetawala miaka mingi kama dikteta moi. Kenya ingekuwa very far by nowHehe ona huyu..Leo ndio umejua Uhuru na Jubilee yake ni ma shithole? πππππ
Umechelewa sana
Umewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Am
Mpige na katerero.Pole saana bt usihofu mambo yakiwa magumu zaidi nitakupa hifadhi kwenye maskani yangu kigoma manyovu tulime wote ndizi
Ni kama kitambulisho cha NIDA!Mkikuyu hiyo HUDUMA NAMBA inamaanisha nini?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Asante kwa ufafanuzi mkuu.Ni kama kitambulisho cha NIDA!
Kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha ufunuo. Yesu yu karibu kujaHuduma namba ni nini?
Viongozi wa Afrika wengi wao ni janga katika mataifa yao wanatofautiana ukubwa wa majanga kwa wakati husika...
We are shithole countries ....
hehe buyers remorse..You voted for his poor corrupt leadership when there were many optionsUmewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Kwa uongozi amefeli. I wish KIBAKI angetawala miaka mingi kama dikteta moi. Kenya ingekuwa very far by now
Tulishachukua ili tulipe deni la mchina. Kuongozwa na watu wengine ni laana tupu. Afadhali KIBAKI mara elfu.
Very corrupt gov't
Ingekuwa Mara yangu ya kwanza Ku vote but I didn't. Mola akinijalia nitamchagua Martha KARUA & her running mate MATIANG'I come 2022hehe buyers remorse..You voted for his poor corrupt leadership when there were many options
Hehe ona huyu..Leo ndio umejua Uhuru na Jubilee yake ni ma shithole? πππππ
Umechelewa sana
Pole saana bt usihofu mambo yakiwa magumu zaidi nitakupa hifadhi kwenye maskani yangu kigoma manyovu tulime wote ndizi
Katerero ni lazima pia nitapitia mpaka birianiMpige na katerero.
Jina lako limetupa picha jinsi ulivyoInamaanisha 666