Kenyans ya better be prepared

Kenyans ya better be prepared

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
To all Kenyans
FB_IMG_1557579932932.jpg
 
Hehe ona huyu..Leo ndio umejua Uhuru na Jubilee yake ni ma shithole? 😂😂😂😂😂
Umechelewa sana
Umewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Kwa uongozi amefeli. I wish KIBAKI angetawala miaka mingi kama dikteta moi. Kenya ingekuwa very far by now
 
Huduma namba ni nini?
Viongozi wa Afrika wengi wao ni janga katika mataifa yao wanatofautiana ukubwa wa majanga kwa wakati husika...
We are shithole countries ....
Umewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Am
 
Huduma namba ni nini?
Viongozi wa Afrika wengi wao ni janga katika mataifa yao wanatofautiana ukubwa wa majanga kwa wakati husika...
We are shithole countries ....
Kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha ufunuo. Yesu yu karibu kuja
And that no man might buy or sell, save he that had the mark, or the name of the beast, or the number of his name.
 
Umewahi niona nikiwasapoti? Napenda Uhuru kwa sababu ana utu lakini kwa uongozi NOOO .Anaruhusu akina waiguru na ruto kuiba pesa za umma bila kusema chochote. Kwa uongozi amefeli. I wish KIBAKI angetawala miaka mingi kama dikteta moi. Kenya ingekuwa very far by now
hehe buyers remorse..You voted for his poor corrupt leadership when there were many options
 
Tulishachukua ili tulipe deni la mchina. Kuongozwa na watu wengine ni laana tupu. Afadhali KIBAKI mara elfu.
Very corrupt gov't

Don’t stress yourself my dear one,
Nina mashamba Kwetu Iringa, Naweza Kukukatia walau Ekari moja ukafuga hata kuku maisha yakasonga, [emoji7][emoji324]
 
Pole saana bt usihofu mambo yakiwa magumu zaidi nitakupa hifadhi kwenye maskani yangu kigoma manyovu tulime wote ndizi

Hehehe kumbe ndio maana huwa unaunga juhudi kwa nguvu zote, maana mkoa huo huwa mumejazana watu wa Mr. Slim na wale wa NkrunziWhatever
Siku mkichelewa kuunga juhudi mtaonyesha makaburi ya mababu zenu na hapo ndio mtapakiwa kwenye malori, kuna yule mwengine kaadimika sana alikua anaitwa motochini
 
Back
Top Bottom