Kenyans your in wrong site! Kwa hili

Kenyans your in wrong site! Kwa hili

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
892
Wanakuu kwanza naomba niwasalimie wote kwa umri wenu na kwa dini zeni nyote humu.

Leo afajiri kuna shekhe moja wa dubai anailaumu wakenya!!

Sijajua kwa undani kwa nn! Nikaona nilite humu jamvini!!

Karibu kwa kutujuza ni nn hiki .

FB_IMG_1558241536486.jpeg
 
Dhaabu Gushi hiyo mkuu,.Sheikh katiwa Mchanga wa macho na wakenya.
 
Wanakuu kwanza naomba niwasalimie wote kwa umri wenu na kwa dini zeni nyote humu.

Leo afajiri kuna shekhe moja wa dubai anailaumu wakenya!!

Sijajua kwa undani kwa nn! Nikaona nilite humu jamvini!!

Karibu kwa kutujuza ni nn hiki .

View attachment 1101790

"Sheikh mmoja wa Dubai" siyo?...lol
Hiyo habari ni ya uwongo, kiongozi mkubwa kama huyo hata kama angetapeliwa asingeropoka hivyo, angeongea na mwenye nchi kuona anamsaidiaje.
 
Wanakuu kwanza naomba niwasalimie wote kwa umri wenu na kwa dini zeni nyote humu.

Leo afajiri kuna shekhe moja wa dubai anailaumu wakenya!!

Sijajua kwa undani kwa nn! Nikaona nilite humu jamvini!!

Karibu kwa kutujuza ni nn hiki .

View attachment 1101790
Hii inachekesha sana

Huyo mlimbwende ni mkewe shekhe mbona huo unywele unatuvutia sana
 
Back
Top Bottom