Kenya's 2018/2019 fiscal budget to hit 29 bln USD -7 bln USD more than Nigeria

Ndo maana huwa tunawaambia hizi takwimu zenu ni za kwenye makaratasi hazina uhalisia mnakataa! Unataka mtu astruggle hata kujitaftia umeme?
Sisi ni waanzilishi wa both EAC na ECOWAS, na geography inaturuhusu
 
i don't trust these guys since that day news came out that they are cooking their data.
 
Ndo maana huwa tunawaambia hizi takwimu zenu ni za kwenye makaratasi hazina uhalisia mnakataa! Unataka mtu astruggle hata kujitaftia umeme?
Nenda uwaambie AfDB ,WB ,IMF na wale wanauchumi wa wizara ya fedha kwamba takwimu zao ni gushi.Wewe ni mtaalamu kuliko hawa wasomi wote wa mambo ya uchumi?
 
Na Nigeria pia wako hivo hivo ,mafuta yao mabilioni ,ardhi kubwa ya kilimo ,GDP tunaimbiwa sana kwamba ni zaidi ya $400bn lakini waone walivyo ...hata budget ya Kenya ni kubwa kuliko yao.
 
Na Nigeria pia wako hivo hivo ,mafuta yao mabilioni ,ardhi kubwa ya kilimo ,GDP tunaimbiwa sana kwamba ni zaidi ya $400bn lakini waone walivyo ...hata budget ya Kenya ni kubwa kuliko yao.
By the way hizo mabilioni za mafuta Nigeria huwa zinaenda wapi mpaka wako na budget ndogo kushinda yetu? These guys are so corrupt. I guess hiyo pesa yote wameweka kwa mfuko. Hio corruption yao imeshinda yetu na mbali.Very sad
 
Russia iliwai kusema afrika aiwezi endelea hadi rasilimali zikimalizika kwa sababu majambazi wa kimataifa wanaujumu nchi zenye utajiri wa nishati na madini msemo mti wenye matunda ndiyo upigwa mawe ila tz tutapambana nao hao wawekezaji wa nishati na madini
 
Reactions: Oii
which minerals? we dont have diamond...tz has...tz has gold, tanzanite coal gas etc...sio kwamba eti hapa kenya hamna mining kabisa ila si kwa level ya tz, sa, nigeria, congo...
Mshukuruni mungu kuwa amna minerals maana mngekuwa nayo mngemwagishwa damu na kuujumiwa na wawekezaji wa sekta za minerals ni mafia sawa na wauza madawa ya kulevya mngekuwa masikini kuliko mlivyo sasa
 
for the first time in my life, ndio nimeona the word UNCOMFORTABILITIES......
Ndiyo maana maana jf ni jukwaa la kujifunza, la muhimu ujumbe ufike, hatupo hapa kujifunza lugha, ila pia unaweza kurekebisha ukipenda, lakini tupo interested zaidi na issues au mada inayozungumziwa, jikite kwenye hoja tafadhali
 
Nyie wakenya ndio mpo kama Nigerian sasa amewapa za uso pamoja na ujuaji wenu arrogance and emptiness mmelamba za uso ndio mnakumbuka watz hahaha igbos nyoosha hao kiberians
 
Nenda uwaambie AfDB ,WB ,IMF na wale wanauchumi wa wizara ya fedha kwamba takwimu zao ni gushi.Wewe ni mtaalamu kuliko hawa wasomi wote wa mambo ya uchumi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mtani naona hii imekuingia kweli kweli! Naombabutulie hivo hivo! Hivi kama hizo takwimu zina unalisia, ni kwa nini mnashindwa hata kufikia ile minimum threshold mliyojiwekea kisheria?

Mwaka huu mmejitahidi kweli kweli kukusanya kodi nabmmevunja rekodi, lakini mbona budget deficit inazidi kuongezeka? Ongeza na huduma nyingine mbovu nilizosema, huo uchumi mkubwa una akisi wapi kama sio kupika ili mpate kukopesheka?
 
Kumbe Kenya ni mwalimu wa secondary.? Tanzania mwalimu wa msingi anaeza kufanya hivyo tena ndani ya miaka miwili tu, anaweza kuchukua mkopo mkubwa kwenye mabank anunue hata SUV tatu na ajenge nyumba.
 
Ndugu zetu wakenya jaribuni kuwa mnabiki kwenye mstari msiwe mnahamisha magoli mara kwa mara, huku EAC mnajinasibu kuwa na uchumi mkubwa mkimaanisha GDP, mkikutana na Nigeria wenye uchumi mkubwa mnahamisha goal position sasa mnasema bajeti kubwa, sasa vyote hivyo vina maana gani kama haviwafikii wananchi vinaingia mifukoni mwa watu wachache kutokana na rushwa, au vinaelekezwa miradi isiyo na tija kwa taifa?
 
Reactions: Oii
Hahaha 1st world from the tail, you better shut up where you are by then even with such little? You just poorer than yesterday's and that's it
mama nginaa is fixing you to the maximum
 
Ndiyo maana maana jf ni jukwaa la kujifunza, la muhimu ujumbe ufike, hatupo hapa kujifunza lugha, ila pia unaweza kurekebisha ukipenda, lakini tupo interested zaidi na issues au mada inayozungumziwa, jikite kwenye hoja tafadhali
Huyo dogo alikuwa anakukejeli. Hakuwa anakupongeza kwa lugha nzuri. He was just being sarcastic
 
Kumbe Kenya ni mwalimu wa secondary.? Tanzania mwalimu wa msingi anaeza kufanya hivyo tena ndani ya miaka miwili tu, anaweza kuchukua mkopo mkubwa kwenye mabank anunue hata SUV tatu na ajenge nyumba.
Hahaha wacha nicheke tu
 
Niruhusu niongee Kiingereza, kiswahili kina wenyewe.
There is no contradiction in what Kenyans are saying about Nigeria. A country with a humongous GDP like Nigeria is also expected to have a huge budget. It is very ironical that NG has the biggest GDP in Africa but has a relatively tiny budget. Wewe huoni hapo Kuna tatizo?
 
Kiingereza sikijui vizuri nitaendelea na Kiswahili chetu mwanana, hivi tajiri anayetumia pesa ndogo kwa mwezi katika matumizi yake ya kila siku, na masikini anayetumia pesa nyingi tena zaidi ya tajiri katika matumizi yake, nani yupo makini na maisha?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hapo kweli kuna tatizo, ulipisema ilibidi niangalie budget yao nikashangaa almost inalingana na yetu!

Lakini matatizo ya Nigeria na kenya yanafanana, GDP kubwa lakini hakuna uhalisia wa hiyo GDP kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja!

Nashangaa zaidi sisi hapa LDC mtu wa chini ana maisha mazuri sana kuliko mtu wa non-LDC anayeishi kenya na Nigeria, hata SA.

Labda ntapitia ile ya Egypt na mataifa mengine ya north nione wao wakoje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…