Kenya's budget more than all EAC combined!!!

Aaw Boy,and so to say Rwanda, Uganda and Burundi surpasses Danganyika. Hii Danganyika ngozi kubwa inatuaibisha tu
Tanganyika sifa kubwa "kuchonga" hii ndio legacy/urithi wetu kwa ccm.
 
Tanganyika sifa kubwa "kuchonga" hii ndio legacy/urithi wetu kwa ccm.
Aaaah sio kuchonga.
Bora tz tunaishi kwa uhalisia hawa majamaa wenzetu wakisii wanaishi kwa kasumba na uchumi wa makaratasi.
Asa ww ujiulizi budget kubwa yote hata njaa haipungui turkana daily na madaktar wamegoma.!!!
Asa hzo hela za budget zaenda wapi?!
Ni sawa sawa mama ako ulimwomba budget ya kununua mboga nyumban ya nyama na viungo mbali mbali kurudi akakuta umempikia dagaaa!
This is awful
 
Hawa jamaa ni vichaa, kupenda SIFA za kijinga wakati uwezo hawana. Badala ya kuongeza kipato, wao wanaongeza matumizi wakitegemea kutembeza bakuli, ndio sababu hata omba omba wa Tanzania hukimbilia Kenya kwa ombaomba wenzao, huko wanaelewana sana.
 
Hahaah hiii ni aibu,
Yaani KRA inaconnect more than budget ya TZ ikiwa na magrants na donors hadi loans included!!!
Nimeshangaa
 
Hahaah hiii ni aibu,
Yaani KRA inaconnect more than budget ya TZ ikiwa na magrants na donors hadi loans included!!!
Nimeshangaa
Bora kidogo cha tz kinatunufaisha atleast kuliko hyo budget kubwa ya kenya halafu still wafa njaa wengi
 
Nchi kama Nigeria inatuangusha sana kama waafrika. GDP zaidi ya $400 billion lakini mna kabudget kadogo kama nzi.
Nyie kwa uchumi upi mue na budget kubwa kiasi hicho?
 
Nyie kwa uchumi upi mue na budget kubwa kiasi hicho?
Kwa uchumi wetu wa $100 billion tunaweza kirahisi sana kuwa na budget kama hiyo. South Africa wana budget zaidi ya mara tatu ya Nigeria ilhali South Africa wana uchumi mdogo kushinda Nigeria. Nigeria wana upuzi tu. Serikali haitaki kukusanya ushuru kwa sababu wanajua wanapata pesa nyingi kwa kuuza mafuta, kwa hivyo wako lazy hawataki kuweka systems in place ya kukusanya ushuru.
 
S.A. Ni developed country hata per capita yao inasema, wale wako G20, Wako BRICS sio size ya NIGERIA Au matopeni-Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…