Kenya's budget more than all EAC combined!!!

S.A. Ni developed country hata per capita yao inasema, wale wako G20, Wako BRICS sio size ya NIGERIA Au matopeni-Kenya
Shida sio kwamba budget yetu ni kubwa, shida ni kwamba budget ya Nigeria ni ndogo. Kuna tofauti hapo mkuu. South Africa ni developed na ndio maana wana budget ya kufa mtu. Hapo nakubaliana nawe.
 
Shida sio kwamba budget yetu ni kubwa, shida ni kwamba budget ya Nigeria ni ndogo. Kuna tofauti hapo mkuu. South Africa ni developed na ndio maana wana budget ya kufa mtu. Hapo nakubaliana nawe.
NIGERIA hawako serious wale,wakiamua kukusanya kodi Na kuacha wizi wangekua taifa ya heshima sana
 
Shida sio kwamba budget yetu ni kubwa, shida ni kwamba budget ya Nigeria ni ndogo. Kuna tofauti hapo mkuu. South Africa ni developed na ndio maana wana budget ya kufa mtu. Hapo nakubaliana nawe.
TZ tuko 55M lakini wanigeria wanakaribia 190M angalia budget yetu
 
TZ tuko 55M lakini wanigeria wanakaribia 190M angalia budget yetu
Ni kweli mkuu, budget yenu iko karibu kufikia ya Nigeria ilhali wako na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Tanzania. Wao ndio wana shida, sio sisi.
 
Ni kweli mkuu, budget yenu iko karibu kufikia ya Nigeria ilhali wako na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Tanzania. Wao ndio wana shida, sio sisi.
GDP Sasa haimake sense kwa maana hyo parameter nzuri ya kutumia Ni per capita nadhan
 
GDP Sasa haimake sense kwa maana hyo parameter nzuri ya kutumia Ni per capita nadhan
Per capital ni nzur..ila pia na yenyewe ina shida..mfano ina mask umaskin wa African oil producing countries...
Human development index ni kigezo kizur
Ambayo yenyewe inaangalia
1.Per Capital
2.Education level
3.Health

Ninaweza nkwa si support projects nyingine zinazoendelea Tanzania..ila swala la Kujenga New 67 district hospitals na Ku rehalibitate over 300 health centres itaboost sana health services
 
Tatizo lenu wakenya mnaongea maneno mengi sana bila hata evidences.
Hii hapa Budget ya RSA
 
GDP Sasa haimake sense kwa maana hyo parameter nzuri ya kutumia Ni per capita nadhan
Ni kweli, Per capita ndio inayotoa picha halisi ya hali ya uchumi katika nchi fulani.
 
jameni watanzania acheni wivu bana, mna bajeti ndogo na bado ina deni ndani yake , ni heri sisi kenya bajeti yetu kubwa hata kama lina deni kiasi, can you imagine kenya inaweza kustiri nchi zote tatu kwa mwaka mzima, aibu ni ikiwamo bila aibu bonge la nchi kama tanzania aibu ilioje

Halafu utaona wakijenga ghorofa mbili CBD Wana payukaaaa, enyewe maskini akipata 'makalio' huliambwata. ooh by the way CBD inamaanisha pale town yaani central business district.
 
Kweli kabisa HDI ndio the very best economic indicator.
 
Hata hii na yenyewe siyo nzuri
Inclusive Development ndio mambo ya mjini
 
Tatizo lenu wakenya mnaongea maneno mengi sana bila hata evidences.
Hii hapa Budget ya RSA
Wewe mzee unajua kusoma? Budget ya SA ni 1.83 trillion rand, ukienda kwa google utype conversion into dollars, google inanipa 121 billion dollars. Sasa nilikuwa sahihi niliposema budget ya SA ni zaidi ya mara tatu ya Nigeria. Kama ulienda shule utajua kwamba $121 billion ni zaidi ya mara tatu ya $29 billion. Next time usinipinge kama huna facts kwa mkono.
 
Waache tu wanabudget na pesa zao za ndani.....
 
Vijana hawna ajira maana kila MTU ni msomi TZ hata darasa LA saba unapata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…