Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Shida sio kwamba budget yetu ni kubwa, shida ni kwamba budget ya Nigeria ni ndogo. Kuna tofauti hapo mkuu. South Africa ni developed na ndio maana wana budget ya kufa mtu. Hapo nakubaliana nawe.S.A. Ni developed country hata per capita yao inasema, wale wako G20, Wako BRICS sio size ya NIGERIA Au matopeni-Kenya