Kenya's budget more than all EAC combined!!!

Ile siku utaleta link kuonyesha hao madaktari kenya hawajalipwa na log off jf
 
Halafu unakuta Kenya inaongoza vijana wake kwa kukosa ajira East Africa yote.

UNAJUA BAJETI NI KAMA UMRI TU? NI NAMBA TU YANI LAKINI UHALISIA WAKE KIDUCHU... [emoji3]

Ahaaa haaa haaa
Ina maana unataka kusema kuwa na miaka mingi siyo busara. Hata wapumbavu na wajinga wanazeeka.
Teh teh teh tihiii
 
Hawa jamaa ni vichaa, kupenda SIFA za kijinga wakati uwezo hawana. Badala ya kuongeza kipato, wao wanaongeza matumizi wakitegemea kutembeza bakuli, ndio sababu hata omba omba wa Tanzania hukimbilia Kenya kwa ombaomba wenzao, huko wanaelewana sana.

Ahaaa haaa haaa
Hawajui ya kuwa mipango siyo matumizi.
 
Nadhani hiyo budget imejumuisha na madeni mtakayoilipa china annually
Na hatujakataa kulipa. Nyinyi pia mkubali kuwa mnakopa na pia kupewa na Wazungu kumudu bajeti yenu.
 
S.A. Ni developed country hata per capita yao inasema, wale wako G20, Wako BRICS sio size ya NIGERIA Au matopeni-Kenya
Na Kenya ni middle income sio LDC Danganyika.
 
Nchi ya watu milioni 190 ina budget ndogo ya $29 billion. Enyewe Nigeria is a shit-hole country worse than Somalia or South Sudan.
Budget ya central govt si kubwa coz kila state huwa na budget yake binafsi
 
TZ tuko 55M lakini wanigeria wanakaribia 190M angalia budget yetu
But by 2050 mnaweza fikia gdp ya Kenya, kulingana na economic projection Kenya will have a population of 95 million, tanzania 137 million. But per capita unless some civil war happens sioni mkipita kenya in our lifetime
 
But by 2050 mnaweza fikia gdp ya Kenya, kulingana na economic projection Kenya will have a population of 95 million, tanzania 137 million. But per capita unless some civil war happens sioni mkipita kenya in our lifetime
Mi sioni kama kuna haja ya kusema kuwapita Kenya kwan Kenya yenyewe bado hakuna lolote,Tuwapite tukienda wap?
Tunahitahi uchumi uliosimama imara kila mtz aweze kufurahia keki
Japan umeendelea kuliko China by far lakini China ina GDP kubwa sana ,tunahitaji maendeleo zaidi ya ushindani na wazembe kama nyie
 
game over tujadilie budget Kwanza kabla tubishane just ya njaa Kenya na njaa Tz watu wakila kinyesi na utapia mlo. Wacha wivu bana $30b vs $14b huoni tuko double your economy upende usipende?
For years you’ve been bragging of Big budget ila miradi yote kwa Mchina,
Njaa Kila kona ya Nchi na Maradhi ya Funza,
Wakenya wengi bado wanaishi kwenye mabanda ya kuku (wakazi milioni Mbili unusu) wanaishi kibera,

So brother, Where do the Money Go?
Kuna mradi gani Kenya Imefanya?
 
Mtaani kwetu yuko tajiri mmoja ana wanawake wanne na watoto ishirini ila yeye ana jiko lake na bajeti yake. Sikilizia watoto sasa ni kuvaa tisheti inayofunika juu mpaka chini mwaka mzima. Maisha ya familia ya tajiri huyu haina tofauti na maisha za 254.
 
SGR 600km , Tz SGR 0km
KQ 40 planes, Tz ATCL 7 planes
Thika Road(12lanes) 50km, Kibaha(6lanes) 20% complete.
Lamu Port ongoing, Bagamoyo abandoned white elephant.
Nairobi vs Dar es salaam - Nairobi won hands down.
Mombasa vs Dar es salaam - Draw
Tanzanian beggars - Found in every part of Kenya.

Turkana Njaa iko, Tz Njaa ya kukula kinyesi


Nini ingine unataka?
 
But by 2050 mnaweza fikia gdp ya Kenya, kulingana na economic projection Kenya will have a population of 95 million, tanzania 137 million. But per capita unless some civil war happens sioni mkipita kenya in our lifetime

But this obsession kuwa Tanzania inataa kuipita Kenya imetoka wapi... maana sijawahi kuona faida ya kuwapita majirani zetu kiuchumi hakuna faida yoyote... Na nani kasema kuwa maendeleo ni kupitana?

Hivi Tanzania ikiipita Kenya kiuchumi (GDP) kuna faida gani hasa?
 
Miradi yote mfanyayo ni kwa kukopa sio hela zenu.
Hao beggars wamejitakia kwa uvivu wao wa uchapaji kazi.
Wengi wa wanaojiweza wapo wanakula maisha yao.
Hatuwataki maana watu wavivu watadhorotesha maisha.
Njaa Tz imetokea mwaka huu kwa ukame wa march basi.
Ila Kenya miaka nenda miaka rudi njaa ipo pale pale.
Hao walioshikwa na njaa wanasaidika sasa hv.
Na sgr inajengwa imefikia 58% baadhi ya kilometers pesa zetu ilhali nyie mradi mzima mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…