komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ile siku utaleta link kuonyesha hao madaktari kenya hawajalipwa na log off jfAaaah sio kuchonga.
Bora tz tunaishi kwa uhalisia hawa majamaa wenzetu wakisii wanaishi kwa kasumba na uchumi wa makaratasi.
Asa ww ujiulizi budget kubwa yote hata njaa haipungui turkana daily na madaktar wamegoma.!!!
Asa hzo hela za budget zaenda wapi?!
Ni sawa sawa mama ako ulimwomba budget ya kununua mboga nyumban ya nyama na viungo mbali mbali kurudi akakuta umempikia dagaaa!
This is awful