Offcourse, Kenyan media is very vibrant. Media za Kenya zina uhuru wa kuripoti habari zozote zile bila uoga wala vitisho kutoka kwa mtu yeyote yule. Sijapata gazeti lolote ukanda huu ambalo lina quality kama ya The Daily Nation na The Standard. Hilo halina ubishi.