Kenya's Daily Nation,The Standard lead as most read Newspapers In Africa

Kenya's Daily Nation,The Standard lead as most read Newspapers In Africa

Offcourse, Kenyan media is very vibrant. Media za Kenya zina uhuru wa kuripoti habari zozote zile bila uoga wala vitisho kutoka kwa mtu yeyote yule. Sijapata gazeti lolote ukanda huu ambalo lina quality kama ya The Daily Nation na The Standard. Hilo halina ubishi.

Ebu tuchambulie haya?

Blow to Kenya's media after editor sacked for criticising president

Ebu tuchambulie haya?

Blow to Kenya's media after editor sacked for criticising president

Hii taarifa yako inaanza hivi; 'This article is three years old'. Tukitumia 'objective reasoning' tutafikia maamuzi kwamba wewe mwenyewe hujaisoma. Just blink if am right.
 
Back
Top Bottom