Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya muhuri naona yametimia, Kibaki sasa anaionyesha kwa public, kimeeleweka sasa bado sisi
...Naona na Mpwa hukucheza mbali kabisa na Uhuru park!
BWT: Hongereni sana wa Kenya kwa kupiga hatua kubwa sana katika kuimarisha Demokrasia kwenye nchi yenu......!
Mbona kama bwana mkubwa Raila anashangiliwa sana kuliko Moi Kabaki? what does it mean?
Thank you all...Its been very active in we have had our differences in JF lakini leo tuko pamoja to usher in the new constitution in Kenya.
Long live EA...Si se puerde...yes we can!