Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

Nilikuwa sijacheka afadhali, comment yako inachekesha 🤣🤣
Unadhani ni utani?
Labda nikuulize maswali matatu tu kaka.
1.Kama Kenya ni nchi inayojiweza kiuchumi kuliko Tanzania,kwanini Kenya raia wake hukimbilia Tanzania kimatibabu?
2.Kama Kenya Ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania,kwanini Tanzania iliwasaidia msaada wa dawa tena wakiwa wameishiwa toka September 2023 hadi January 2024 wakiwa hawana dawa!?
3.Kama Kenya ina uchumi mkubwa kwanini wanahangaika na njaa hadi sasa??
 
Tanzania sio lower income, sometime Tumia source nzuri, MSN haina tofauti na kiu na Ijumaa,

Middle income ni $1136 ya Gdp per capita ama zaidi. Tanzania tushavuka $1200 per capita.
 
Kaka based on taarifa ya health services Kenya ipo 10 kwenye nchi zenye huduma bora za afya africa, hell even top 5. Where by tz , uganda hata rwanda hawajatoboa top 10.

Wakenya wangapi ina numbers wanakuja JKCI?
And if you think kenya pekee ndio ina receive msaada wa WFP, nigeria na maendeleo yao mpaka leo wana receive misaada ya wfp, even rwanda i rare occation

Inamaanisha tz imewazid nigeria kiuchumi, social economics? In health services?

I think similar to kenya, ku receive msaada wa wfp haimaanishi wamezidiwa everything

Tuwe realisticaly twende kwa data
 
Na imewapita. Nyie mnawapita kiti gani Kenya?
Tumewapita kuwa na distribution nzuri ya Uchumi, Uchumi wa kenya unamilikiwa na watu wachache mno, mara kwa mara nawatania wa Kenya, wasomali wachache tu mtaa mmoja Kenya Eastleigh wanamiliki 1/3 ya Uchumi wa Nairobi.

Kuelewa vizuri angalia minimum wage, Juzi tumeongeza minimum wage Serikalini toka 370,000 tsh kwenda 500,000, kwa Tanzania kuanzia mwezi wa 7 hakuna mtu serikalini ambaye atakua analipwa Chini ya laki 5.

At same Time Kenya Minimum wage ni ksh 15,000 ambayo ni roughly kama laki 3 ya Tanzania.

Ndio maana Masikini wa Kenya ni masikini zaidi kuliko wa Tanzania na Tajiri wa kenya ni Tajiri zaidi kuliko Tanzania.
 
Hii inafanana na hotuba ya mwenyekiti wa CCM akihutubia wanachama waliorudisha kadi kutoka chadema
 
Unamwambia mwenzako data ila wewe hujaweka source ya claim yako?
 
Hii peleka kwa wajinga wenzako
 
Sasa wewe ndio uwe realistic kaka.
Nadhani umekurupuka sana kujibu.
Kiuhalisia in realistic way kama kweli nchi imeendelea katika masuala ya kiafya raia wake wasingevuka kutoka TAITA TAVETA KUJA ARUSHA NA KILIMANJARO KUTIBIWA.
Sio tu JKCI bali hospitali za serikali za Arusha na Kilimanjaro kwa mwaka zinapokea mamia ya raia wa Kenya.
Pia kama nchi imeendelea katika masuala ya afya ISINGEKAA MIEZI MINNE IMEISHIWA DAWA MUHIMU TENA ZA TB.
BRO EMBU ACHA UTANI.
Hapo ndio ujue hizo list mnazozisoma hazina uhalisia.
Tena tusiishie hapo,Nigeria ndio nchi takataka kabisa ambayo Ina maeneo mengi mabovu.
Ndio maana wachumi wanasema masuala ya GDP hayaendani na uhalisia wa uchumi.
 
Hii peleka kwa wajinga wenzako
Mjinga ni wewe unayekuja kutukana pasi na kupinga kwa fact alichosema mwenzako.
Tena ni mjinga na mpumbavu kabisa.
Uchumi wa Kenya unamilikiwa na watu wachache hakuna distribution nzuri ya uchumi kama Tanzania.
 
Unamwambia mwenzako data ila wewe hujaweka source ya claim yako?
Oh yeah very simple, who stats, wana publish hizo info kwenye site yao.
Lakin pia simialr information ziko commonwealth fund website pia, brookings.edu pia wana provide
 
Hii inafanana na hotuba ya mwenyekiti wa CCM akihutubia wanachama waliorudisha kadi kutoka chadema
Kwanini nibishane na vilaza!?
Oh yeah very simple, who stats, wana publish hizo info kwenye site yao.
Lakin pia simialr information ziko commonwealth fund website pia, brookings.edu pia wana provide
Nimekuuliza maswali kule juu kaka.
1.Nchi inayojiweza kiuchumi inaweza kukaa miezi MINNE IMEISHIWA DAWA MUHIMU TENA ZA TB hadi inapewa msaada na TANZANIA??
2.Nchi inayojiweza kiuchumi raia wake wanaihama kwenda kupata matibabu nchi jirani??
Naomba majibu ya haya maswali.
 
Umetaka source ya taarifa nimekupa, sasa sijui hili ni swali jipya?
 
Hehehehehe hivi ni vichekesho mtu anakwambia uwe realistic ilhali unamletea taarifa na ripoti ya nchi husika kupewa msaada hadi wa dawa anakwambia uwe realistic.
Sasa nani awe realistic hapo,wewe au yeye??
DUNIANI SIJAWAHI
Umetaka source ya taarifa nimekupa, sasa sijui hili ni swali jipya?
Bro unaleta taarifa ambazo haziendani na uhalisia.
Usinifanye nishuku uwezo wa akili yako.
Kinachosemwa kwenye karatasi ni tofauti na kinachoendelea kwa raia.
KENYA INGEKUA INAENDANA NA HIZO TAKWIMU MAMIA YA RAIA WASINGEKUA WANAVUKA BODA KUJA KUTIBIWA ARUSHA NA KILIMANJARO.
PERIOD EMBU FANYA REASONING KAMA MSOMI.
 
Leta ushahid mkuu
 
Nataka mtu anitajie lini USA alikaa miezi MINNE KAISHIWA DAWA AKAENDA KUPEWA MSAADA NA CANADA.
Nipo hapa nasubiri.
Pia lini raia wa USA wakawa hawajitoshelezi kimatibabu wakaenda kutibiwa Canada
Leta ushahid mkuu
Nimeleta hapo taarifa mkuu soma hapo chini tena kutoka vyanzo vya Kenya.
 
Umeiga porojo za ChoiceVariable
 
Unadhani ni utani?
Labda nikuulize maswali matatu tu kaka.
1.Kama Kenya ni nchi inayojiweza kiuchumi kuliko Tanzania,kwanini Kenya raia wake hukimbilia Tanzania kimatibabu?
Labda matibabu ya waganga wa Sumbwanga na Tanga
 

Kenya wanatuzidi majivuno, njaa, umaskini, ukosefu wa ardhi, na vurugu. Ndiyo GDP yao ni kubwa kuliko yetiu. Je nani wanamilki nini kati ya Wazungu na manamba wa kikenya? Anayebisha, aangalie walivyojazana kwetu.
 
Oh yeah very simple, who stats, wana publish hizo info kwenye site yao.
Lakin pia simialr information ziko commonwealth fund website pia, brookings.edu pia wana provide
Weka link,

Mimi nakupa Ushahidi issue ya Afya tumewagaragaza hata havifananishiki

1. Tanzania tuna Hospitali 336 na Vituo vya Afya 8497
Source

2. Kenya wana Hospital 267 na Vituo vya Afya kama 5000

Hivyo ukiangalia hapo tumewapita, ila still hizo namba hazielezei full picture.

Kenya wana Hospitali za Serikali 57 tu, Nchi nzima.

Njoo Tanzania Almost kila wilaya kuna Hospitali ya Serikali majority ya Hospitali zetu ni za Serikali,

So possibly hizo Hospitali zao za private zina huduma nzuri zaidi ila zinatibu wachache wenye hela tu ila majority ya wananchi wao wana Hospitali 57 tu wengi hawapati hata huduma mbovu kama zetu za paracetamol.
 
Kaka based on taarifa ya health services Kenya ipo 10 kwenye nchi zenye huduma bora za afya africa, hell even top 5. Where by tz , uganda hata rwanda hawajatoboa top 10.
Kwa mitandao tu, Kenya watakushinda kila kitu. Wamejaza sana taarifa za kuonesha wako vizuri, ila ukikaa Kenya utajionea tofauti.

Binafsi, bado natafiti kwenye afya Kenya wanatuzidi nini kwasasa.

Kuna wakenya wengi walikuja Bongo, kwa matibabu wakati ule madaktari wao wamegoma.

Na Wakenya wengi wa mipakani huwa wanapendelea kutibiwa TZ kwasababu bei ni nafuu.
Wakenya wangapi ina numbers wanakuja JKCI?
JKCI hawajajua kupiga, promo. Ingekuwa iko Kenya wangekuwa wanapiga kelele balaa.
And if you think kenya pekee ndio ina receive msaada wa WFP, nigeria na maendeleo yao mpaka leo wana receive misaada ya wfp, even rwanda i rare occation
Nigeria ina maendeleo gani?

Nigeria na wao walikuwa wanapika GDP, wakawa wana uchumi mkubwa kuliko South Africa.

Walipokwama na madeni, IMF akawaambia washushee thamani ya sarafu yao.

sasa hivi sarafu ya Nigeria (Naira) ina thamaninsawa na ya kwetu TZ.

Na kibaya zaidi Nigeria ina ardhi kama TZ, laini ina watu karibu milioni 300.

Halafu kuna maeneo Nogeria vita ya magaidi haijaisha, kila siku mapogano.
Inamaanisha tz imewazid nigeria kiuchumi, social economics? In health services?
Nigeria hana maajabu.
I think similar to kenya, ku receive msaada wa wfp haimaanishi wamezidiwa everything

Tuwe realisticaly twende kwa data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…