Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

Tumewapita kuwa na distribution nzuri ya Uchumi, Uchumi wa kenya unamilikiwa na watu wachache mno, mara kwa mara nawatania wa Kenya, wasomali wachache tu mtaa mmoja Kenya Eastleigh wanamiliki 1/3 ya Uchumi wa Nairobi.

Kuelewa vizuri angalia minimum wage, Juzi tumeongeza minimum wage Serikalini toka 370,000 tsh kwenda 500,000, kwa Tanzania kuanzia mwezi wa 7 hakuna mtu serikalini ambaye atakua analipwa Chini ya laki 5.

At same Time Kenya Minimum wage ni ksh 15,000 ambayo ni roughly kama laki 3 ya Tanzania.

Ndio maana Masikini wa Kenya ni masikini zaidi kuliko wa Tanzania na Tajiri wa kenya ni Tajiri zaidi kuliko Tanzania.
Umeeleza vizuri sana. Kenya ni nchi ya kibepari,kuna matajiri wachache ambao ni matajiri zaidi na wanabeba uchumi wa nchi,

Lakini maskini wa Kenya ni maskini kweli na wako wengi kuzidi Tanzania. Maskini wa Tanzania huwezi kuta hawana chakula na anamiliki ng'ombe mbili tatu[ wa kijijini]. Huduma ya afya kenya ni bora kuliko Tanzania,shule za serikali Kenya ni bora pia kuliko tanzania.
 
Lakini maskini wa Kenya ni maskini kweli na wako wengi kuzidi Tanzania. Maskini wa Tanzania huwezi kuta hawana chakula na anamiliki ng'ombe mbili tatu[ wa kijijini].

Huduma ya afya kenya ni bora kuliko
Mimi nataka ubora wa huduma za afya Kenya ukoje?

Yaani ni huduma gani wanatoa ambazo kwa TZ hakuna.
Tanzania,shule za serikali Kenya ni bora pia kuliko tanzania.
Ubora ukoje Kenya?
 
Huyo zuzu hata anachoongea hakielewi.
Muoneeni huruma tu.
Watanzania wengi wanaoona Kenya ni superior kutuzidi wengi wao hawajawahi kufika Kenya. Ile GDP ya Kenya, viingereza vyao na propaganda zilizopo mtandaoni ndo zinawahadaa watanzania.
 
Ni kweli Wakenya wanatuzidi vitu vingi sana
Kwenye makaraatasi iko hivyo lakini in reality wanaotuzidi ni wanasiasa wakenya wazungu, wahindi,waarabu wa kenya ndio wanatuzidi. ukija kwa uchumi mojamoja Wakenya wengi ni makapuku, Uchumi wa kenya umejengwa na waingereza tangu miaka hiyo, makampuni mengi ni ya kwao sasa utalinganisha na sisi ambao tumeanza zero, ukikutana na Mkenye tajiri ni mwanasiasa, au anauhusiano na wanasiasa kama wakina Osca Sudi, ordinary kenyan wapo zao Kibera
 
Umeeleza vizuri sana. Kenya ni nchi ya kibepari,kuna matajiri wachache ambao ni matajiri zaidi na wanabeba uchumi wa nchi,

Lakini maskini wa Kenya ni maskini kweli na wako wengi kuzidi Tanzania. Maskini wa Tanzania huwezi kuta hawana chakula na anamiliki ng'ombe mbili tatu[ wa kijijini]. Huduma ya afya kenya ni bora kuliko Tanzania,shule za serikali Kenya ni bora pia kuliko tanzania.
Nairobi mji mkuu 60% ya raia wanaishi kwenye SLUMS.
Masikini wa Tanzania anapo pa kulala na anaweza kumudu mahitaji kwa sarafu yake ndogo.
Kenya Kila mwaka ni kuandamana bei ya unga inapopanda.
Raia wengi wanaishi kwenye nyumba za mabati matupu yenye kutu.
Unazungumzia nini bro!??

Kwenye huduma za afya ndio usitudanganye kabisa.Ingelikua Kenya wana huduma bora za afya raia wao WASINGEKUA wanavuka mpaka kuja kutibiwa Tanzania.
Yani uache kutibiwa kwako kwenye huduma bora uje utibiwe kwa mwenzako!??

Kibaya zaidi Kenya private sector ndio imeshika hatamu ya kila kitu kiasi raia hawanufaiki vile inavyotakikanika.
Kheri ya Tanzania vitu vingi vinajengwa na serikali hivyo raia angalau tunanufaika.
Mathalan uwekezaji wa sekta ya afya ya Tanzania ni sawa na uwekezaji wa sekta binafsi katika afya.
Serikalini hawajawekeza vile inavyotakikanika.
Na private sector inaangalia maximization of profit,ndio maana raia wengi wa Kenya wako taabani.
 
Tumewapita kuwa na distribution nzuri ya Uchumi, Uchumi wa kenya unamilikiwa na watu wachache mno, mara kwa mara nawatania wa Kenya, wasomali wachache tu mtaa mmoja Kenya Eastleigh wanamiliki 1/3 ya Uchumi wa Nairobi.

Kuelewa vizuri angalia minimum wage, Juzi tumeongeza minimum wage Serikalini toka 370,000 tsh kwenda 500,000, kwa Tanzania kuanzia mwezi wa 7 hakuna mtu serikalini ambaye atakua analipwa Chini ya laki 5.

At same Time Kenya Minimum wage ni ksh 15,000 ambayo ni roughly kama laki 3 ya Tanzania.

Ndio maana Masikini wa Kenya ni masikini zaidi kuliko wa Tanzania na Tajiri wa kenya ni Tajiri zaidi kuliko Tanzania.
Infact tunapokea from UN bodies like wfp for the sake of REFUGESS wa South sudan,Somalia,Congo,Burundi,Ethiopia na kadhalika.
 
Mnaopokea ni nani Kenya au nchi gani?
Kama unazungumzia chakula Kenya ni miongoni mwa nchi zinazosaidiwa chakula na WFP,yani WFP ikitoa chakula inatoa kwaajili ya KENYA KAMA KENYA na kwaajili ya wakimbizi.
 
kapambane na linchi lenyu hilo limasikini linaloendeshwa na lijanamke lidikteta katili,kalb hayawan!,hata hamna uchaguzi wa uhakika ,damn idiots!
 
Hehe jiwe gizani.
Nchi masikini ni Ile isiyoweza hata kujilisha,isiyokua na uhakika wa mishahara wa watumishi wake wa UMMA na inayoandamana kisa kupanda kwa bei ya unga na hiyo ni KENYA.
 
Hesabu zilikupita mbali.

Vituo 8000 gawanya 65 ni unapata Vituo 123 kwa kila Milioni

Vituo 5000 gawanya 55 unapata Vituo 90 kila Milioni.

Hospitali 336 gawanya 65 unapata Hospitali 5.1 kila Milioni

267 gawanya 55 unapata Hospitali 4.8 kila Milioni

So hata uki consider Population still kuna Considerable gape.

Na kama nilivyokuambia wana Hospitali za serikali 57 tu, kila watu Milioni wanahudumiwa na Hospitali 1 tu ya Serikali.

Tanzania sisi tuna Hospitali 28 za Mikoa, Hospitali 85 za Wilaya, Hospital 6 za Kanda, Hospitali 4 za Kanda za Rufaa na Hospital ya Taifa hizo hizo ni Hospitali 124 ambazo ni zaidi ya mara 2 ya 57 za Kenya.
Wacha uongo, Hospitali za serikali haziwezi kua 57. Kenya ina 47 counties na kila county ina atleast 1 level 5 hospital. Zingine kama Nairobi, Kiambu, Mombasa,Kisumu, Nakuru and other populated counties zina zaidi ya moja. Alafu kuna hospitali za taifa ambazo ni National Hospital ama Level 6 ambazo ni 9 in total spread across the country.
Hapa Africa Kenya is ranked 2nd after South Africa in terms of healthcare. Tunakubali we have our shortcomings na hio ni kwa sababu Kenya kuna uwazi wa reporting but pia tukona our strengths amabazo hamtaki kusema hapa. Hospitali zetu za county amabzo ni level 5 sahii zinafanya major surgeries kama brain, heart and spinal surgery.

View: https://x.com/ntvkenya/status/1923687678244999497

View: https://x.com/StandardKenya/status/1914207039590371515

View: https://x.com/KNH_hospital/status/1919733663136108885

View: https://x.com/kutrrh/status/1623959343140831234

View: https://x.com/ItsMutai/status/1149636964041183237

View: https://x.com/Kenyans/status/1643875799005634560
 
Umenipinga mimi na haujaweka ushahidi wowote, hizo tweet zinaonesha idadi ya hospital?

Ushahidi wangu huu hapa

From the Article
There are 57 public hospitals, including seven national referral hospitals, 47 county referral hospitals, and two sub-county hospitals. There are 103 private hospitals, 58 mission hospitals, and 12 NGO hospitals in Kenya. Hospitals are classified into three levels: Level 6 hospitals are national referral hospitals and large private teaching/mission (faith-based) hospitals; Level 5 hospitals are county referral hospitals and large private/mission (faith-based) hospitals; and Level 4 hospitals are sub-county hospitals and medium-sized private/mission (faith-based) hospitals

Wikipedia wakaweka kabisa na source ambayo unaweza ku search

Ambayo ni hii

Hapo kuna list ya Hospital za Kenya.

Sitaki trust me bro Evidence, weka evidence hapa kusupport unachoclaim
 
Kama hii ndio source yako, haikosi wewe ni primary school dropout. Sasa nchi nzima itakuaje na 2 sub county hospitals. 🤣 🤣 Do you have any critical thinking skills?
 
Umenipinga mimi na haujaweka ushahidi wowote, hizo tweet zinaonesha idadi ya hospital?

Ushahidi wangu huu hapa

From the Article
There are 57 public hospitals, including seven national referral hospitals, 47 county referral hospitals, and two sub-county hospitals. There are 103 private hospitals, 58 mission hospitals, and 12 NGO hospitals in Kenya. Hospitals are classified into three levels: Level 6 hospitals are national referral hospitals and large private teaching/mission (faith-based) hospitals; Level 5 hospitals are county referral hospitals and large private/mission (faith-based) hospitals; and Level 4 hospitals are sub-county hospitals and medium-sized private/mission (faith-based) hospitals

Wikipedia wakaweka kabisa na source ambayo unaweza ku search

Ambayo ni hii

Hapo kuna list ya Hospital za Kenya.

Sitaki trust me bro Evidence, weka evidence hapa kusupport unachoclaim
So this is your source, kumbe hata kusoma a simple table hujui. I rest my case. Rudi shule bana wacha kujiaibisha mbele ya dunia.

ScreenShot Tool -20250617235521.png
 
Back
Top Bottom