Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

Diaspora wametuma pesa sawa na nusu ya budget ya Tanzania, CCM mko busy na chuki zenu juu ya diaspora huku Kenya ikifanya kila iwezalo kuwapa support, nina uhakika diaspora bongo wanatuma pesa kuliko sekta yote ya utalii
 
Nonsense, na acha kupika data
 
Nataka mtu anitajie hapa lini TANZANIA MISHAHARA YA WATUMISHI WA UMMA IKAWA INACHELEWA IKIVUKA MWEZI HADI MWEZI!??
ILA KENYA MARA KIBAO IMETOKEA MISHAHARA IKICHELEWA HADI UKIINGIA MWEZI MWINGINE TENA NI WATUMISHI WA UMMA.
HIYO REALISTIC UNAYOITAKA Detective J iko wapi??
Nchi yenye uchumi inachelewesha mishahara kwa watumishi wake hadi MWEZI MWINGINE kuingia?
 
baba @babamwajuma amesema kweli huduma za Afya Kenya zimeegemea kwa private sector tu.
Government sector bado.
 
Tz kila tunapokuwa ranked huwa tunawwkwa group moja na Somalia, Sudani, DRC
 
Acha njaa zako
 
Inachekesha sana mkuu yaani hospital za Tz hata Panadol nazo Huwa tunaambiwa tukanunue!!
 
Inachekesha sana mkuu yaani hospital za Tz hata Panadol nazo Huwa tunaambiwa tukanunue!!
Shida ya TZ ,tunabebana sana.

Huduma za bure kibao.

Kenya hakuna kitu hicho.

Sasa hospitali haina Panadol, na pesa wagonjwa hawatoi, unategemea hizo Panadol watanunuaje??

Kwa matatizo mengine hata Kenya yako mengi tu.

 
Tanzania ina watu milioni 65, Kenya ina watu milioni 55
 
Tanzania ina watu milioni 65, Kenya ina watu milioni 55
Hesabu zilikupita mbali.

Vituo 8000 gawanya 65 ni unapata Vituo 123 kwa kila Milioni

Vituo 5000 gawanya 55 unapata Vituo 90 kila Milioni.

Hospitali 336 gawanya 65 unapata Hospitali 5.1 kila Milioni

267 gawanya 55 unapata Hospitali 4.8 kila Milioni

So hata uki consider Population still kuna Considerable gape.

Na kama nilivyokuambia wana Hospitali za serikali 57 tu, kila watu Milioni wanahudumiwa na Hospitali 1 tu ya Serikali.

Tanzania sisi tuna Hospitali 28 za Mikoa, Hospitali 85 za Wilaya, Hospital 6 za Kanda, Hospitali 4 za Kanda za Rufaa na Hospital ya Taifa hizo hizo ni Hospitali 124 ambazo ni zaidi ya mara 2 ya 57 za Kenya.
 
Kenya watu wote wanaishi 30% tu ya eneo la Kenya.
 
Uwiano wa daktari kwa mgonjwa(Doctor-Patient ratio) Kenya ni daktari mmoja wagonjwa 17,0000 wakati Tanzania ni daktari mmoja wagonjwa 20,000.

Kenya imegawa Hospitali zake katika madaraja sita, sasa sijui wewe unaongelea Hospitali gani 267 wakati taarifa zao zinasema wana Hospitali 12,375.
 
Nipe ushahidi hapa Kenya wana Hospitali 12,000 na delete account yangu hutaniona tena JF, labda uhesabu Pharmacy. Nimekupa ushahidi wa hospital juu link ya wikipedia ikionesha Hospitali zote Kenya

Pia Hakuna anaekataa Kenya hawana Hospital kubwa zenye huduma Nzuri, hao madaktari wa Kenya wapo Hospitali binafsi za watu wanaojiweza majiji makubwa kama Nairobi, ila Mkenya Masikini hapati Huduma kama Mtanzania masikini ndio maana huko juu mmepewa Data za Wakenya masikini kuvuka boda kuja kutibiwa Tanzania.

Hii ilirepotiwa mwaka 2020 kuhusu wa kazi wa Taveta kukimbilia Tanzania


As the government seeks to ensure universal health coverage by 2022 to guarantee access to quality and affordable care, residents in Taita-Taveta are still going to Tanzania to seek treatment.
A number of residents, especially in the border town of Taveta, say they prefer travelling to hospitals in Tanzania as they are cheap, well equipped and the health workers are friendly.

Source
 
Wakenya wengi mipakani huko Kilimanjaro wanatibiwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…