Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

Deni la Kenya NI kiasi gani?

Deni la Tanzania NI kiasi gani?

Je utofauti wa national dept plus percentage inasemaje?

Inshort watanzania ni waoga wa kukopa, kama wakikopa hata 20B wakawekeza vzr watawazidi wakenya kwenye GDP

Wakenya wameweza kukopa na kuwekeza vzr ndo maana wanakwenda mbele zaidi
 
Huo uwekezaji umewanufaisha nini?
Uwekezaji wao mwingi wa kifisadi hakuna lolote.
Kuna pesa nyingi wamekopa kufanya miradi ila hiyo miradi haikukamilika na mengine haikuanzishwa kabisa.
Kenya inatakiwa imalize njaa,ukosevu mkubwa wa ajira na makazi duni pamoja na uduni wa huduma za kijamii kwanza.
Kama unajitapa una uchumi mkubwa halafu hujaweza kupambana na hivyo vitu tajwa hapo juu una uchumi wa makaratasi sio uchumi halisia.
 
Kwahiyo muzungu akisema kitu.. basi hiyo ni kweli...
 
unavyo tetea tanzania ni kama hauna kichwa
 
Deni la Kenya NI kiasi gani?
Deni la Kenya ni 65% ya GDP yao fake.

Ndio maana wanaokopesha hawataki kuwapa pesa tena kirahisi.
Deni la Tanzania NI kiasi gani?
Deni la TZ bado zuri, maana hatuja-default na hatujavuka 50% ya GDP yetu ndogo.
Je utofauti wa national dept plus percentage inasemaje?

Inshort watanzania ni waoga wa kukopa, kama wakikopa hata 20B wakawekeza vzr watawazidi wakenya kwenye GDP
Huwezi kukopa bila sababu.
Wakenya wameweza kukopa na kuwekeza vzr ndo maana wanakwenda mbele zaidi
Kenya kwasasa iko busy na PPP maana haikopesheki na na haina pesa za miradi
 
Haya sasa Chat GTP amemaliza kila kitu hapa. Wakenya ukiondoa "spending" hawana kitu. Kwa maisha ya watu Tanzania is better
 

Attachments

  • Screenshot_20250529_184149_WhatsApp.jpg
    271.9 KB · Views: 28
wakenya wana maisha magumu. Imagine tunewazidu hadi access ya internet😀. Wana poverty rate ya kutisha. Un employment ndio balaa🤣
 
Na ndiyo maana Tanzania haikopi Sana, inaogopa upigaji, afrika upigaji uko juu saaana,

Mungu Tu ndo wakutunusuru kwenye hizi rushwa
 
Nimekuwekea taarifa kaka hapo hujaziona hapo juu!?
Kenya kuja kufuata matibabu Tanzania pia Tanzania kuwapa msaada wa dawa Kenya.
Bro we umekataa data walizoleta ila unataka tukubali data ulizoleta. Bado uko mbali na ukweli.
 
Hii naomba ni mtete , raiya wanoishi mipakani nikawaida kufuata huduma inchi sabubu kubwa hua ni
1. Utofauti wa thamani ya fedha, kama uko mpakani wa ugànda au Burundi gharama utakayo tumia kununua dawa Tanzania nikubwa kuliko utakayo tumia ukiwa burundi au ugànda.( Kama uko mpakani hutumii Gharama kubwa ya vibali na usafili) sabubu shilingi yetu Ina thamani kuliko ya jirani zetu. Kwa mkutadha huo wakenya walio mipakani kwao kutibiwa Tanzania ni nafuu.
2. Madawa kama ya TB , VVU na baadhi ya chanjo yanatokana na ufadhiri sio Hela za serikali nafikili hayawezi kua kiashiaria cha uchumi wa inchi, labda ufañisi katikà Kupanga, kusambaza na Utoaji huduma ambapo Tanzania tuko vizuri tunashirikiana na NGOs mbali mbali kufanikisha hilo
 
Swala ni dogo tunategemeana, ila waulize viongozi wako wakiugua sehemu ya kwanza kwenda before S.A na india ni wapi ?
 
Bro we umekataa data walizoleta ila unataka tukubali data ulizoleta. Bado uko mbali na ukweli.
Ukweli upi mkuu!?
Mie nimeleta yale ambayo wanayoyaelezea wakenya.
Hizo namba za GDP haziakisi uhalisia wa maisha.
Lazima nikatae hizo data na niseme kuwa ni unrealistic.
Ni sawa wewe uandikwe kuwa una donge nono bank but unakuja kuniomba msaada wa chakula mimi masikini je hiyo inaingia akilini!?
GDP ni uchumi tu wa makaratasi.
 
Swala ni dogo tunategemeana, ila waulize viongozi wako wakiugua sehemu ya kwanza kwenda before S.A na india ni wapi ?
Wanaoenda huko ni wachache sana.
Na kama wataenda ni kwenye PRIVATE HOSPITAL YA KENYA TENA MMILIKI MUHINDI sio government hospital of Kenya.
Na hakuna kiongozi mkubwa aliyetibiwa Kenya mtaje hapa nimuone.
 
Bado hiyo haitoshelezi mkuu.
Raia wa Taita Taveta wanadai kuwa TZ Kuna huduma bora za afya ndio maana huvuka mpaka kuja TZ.
Maana matibabu sio uwepesi wa dawa tu kaka bali ubora wa vipimo na mambo mengine ya kimatibabu.
Pia JKCI inapokea wakenya wengi tu kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…