Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

Kama hii ndio source yako, haikosi wewe ni primary school dropout. Sasa nchi nzima itakuaje na 2 sub county hospitals. 🤣 🤣 Do you have any critical thinking skills?
Si kila kituo cha Afya kinachotibu watu kina Qualify kuitwa Hospital, that's the point na sija andika mimi.

Tofauti na dhihaka bado hujaleta ushahidi mna hospitali ngapi za serikali.
 
Primary school dropout wewe ni mvivu kweli kweli.

View attachment 3373807
Health facilities =/= hospitals ambazo zinafaa kuitwa hilo jina la Hospitali, si kila sehemu ambayo mtu ana kwenda kutibiwa ni Hospitali.

Hata Ukimuuliza Gemini hapo anakujibu



So bado nataka Ushahidi wa Hospitali, hivyo vichumba vya kutolea mimba, vifamasi, vidispensary baki na yo wewe.
 
Wewe bado unalialia na nikikuambia utaje hata moja ambayo sio level 4 huwezi. Meanwhile zingine hata zimejengwa mpya na zingine zimepandishwa level since hio data ilichukuliwe.


View: https://x.com/gladyswanga/status/1735945476325724424

View: https://x.com/NationAfrica/status/1622840078295760896

View: https://x.com/russembkenya/status/1900986850262553005

View: https://x.com/russembkenya/status/1900986850262553005

View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1504763935353978882

View: https://x.com/K24Tv/status/1902318492654744022
 
Tafuta watoto wenzako mu exchange hizo tweets, ukipata jibu la swali langu with proof mna Hospitali ngapi za serikali nipe, otherwise sina interest ya kusoma tweet zisizo na mbele wala nyuma.
 
Tafuta watoto wenzako mu exchange hizo tweets, ukipata jibu la swali langu with proof mna Hospitali ngapi za serikali nipe, otherwise sina interest ya kusoma tweet zisizo na mbele wala nyuma.

Unapinga data from Ministry of Health. 🤣 🤣 🤣 Huna hata aibu.

 
Hizi ndio unaita dispensary. 🤣🤣🤣 Na ujue hizi hazijahesabiwa kwa ile data ya 376 level 4 hospitals.


View: https://x.com/GeorgeNatembeya/status/1892929491346825436

View: https://x.com/Constafrica/status/1824056004864028861

View: https://x.com/kdfinfo/status/1823605937183101410

View: https://x.com/Kenyans/status/1791449945377022060

View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1912428300691017738

View: https://x.com/biasharandogo1/status/1838839175589543965

View: https://x.com/CorrectionalKE/status/1791485422855418036
 
baba-mwajuma Bado unapumua ama niongeze. Hizi zingekua huko bongoslum huyo mama yenu angezipatia majina zake zote hadi za wajukuu wake na bado hangemaliza. 🤣🤣
 
Tanzania is, currently, going to the dogs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…