Kenya's economy grows by 25% after recalculation

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
kenya sasa ni nchi ya nne tajiri afrika.

Kenya's economy is believed to be 25% larger than previously estimated following a change in the way its size is calculated.

The recalculation means it will now be considered by economists and the World Bank as a middle-income country, rather than a low-income one.
As a result growth for 2013 was calculated to have been 5.7%, up from an earlier estimate of 4.7%.
It is now the fourth biggest economy in sub-Saharan African.
Nigeria, South Africa and Angola are the three biggest economies in the region.
Economic output was calculated to be 4.76 trillion shillings ($53.1bn; £32.8bn) in 2013 after rebasing, up from 3.8 trillion shillings, the minister for devolution and planning, Anne Waiguru, said on Tuesday.
Some of the most profitable sectors in Kenya - communications and property - were not considered in earlier calculations of GDP which used 2001 as a base year.
Authorities in the East African country have now changed the base calculation year to 2009 and revised the annual and quarterly national accounts statistics for the period 2006 to 2013.

Source:BBC


BBC News - Kenya's economy grows by 25% after recalculation
 
utajiri huu uwa ni wa watu weupe zaidi na mabepari kuliko wananchi wenyewe,kwahiyo kwangu ni meaningless unless maeneo yote s.africa ikiwemo soweto yawe kama free town,johnsbag n.k ..hivi kwa mfano inakuimpress kivipi Kenya kuwa ya nne wakati maeneo nje kidogo ya Nairobi watu ni maskini wa kutupwa,maeneo ya rift valley na kaskazini mwa nchi yako taabani kwa njaa na ukame
 

taifa linapokuwa tajiri,serikali inaweza kutoa huduma za kijamii vizuri maana kodi hupatikana kubwa hivyo na mwananchi masikini kufaidika
 
That is very possible kwa Kenya kwasababu hata ukiangalia tu speech anazotoa Uhuru Kenyatta unamwona kabisa ni mtu ambae yupo committed kwa nchi na wananchi wake, wakati wote he looks serious katika jambo analoongea lakini hapa TZ, JK hajui kwanini watz ni maskini pamoja na kuwa na rasilimali zote, ni mizaha-mizaha tu na ndio maana nchi haisogei mbele.
Kwakweli mwaka 2015 lazima watanzania tuwe makini sana kwenye sanduku la kura.
 
Kikwete ana mapungufu yake lakini kamwe siwezi kumlinganisha na Kenyatta anayetakwa na ICC!
 
Kikwete ana mapungufu yake lakini kamwe siwezi kumlinganisha na Kenyatta anayetakwa na ICC!

anatakiwa ICC kwa mauaji ya mwangosi,mabomu arusha na mauaji zanzibar. inatakiwa akaeleze mahakama inakuwaje mambo hayo yatokee ili hali kuna vyombo vya usalama?
 
Mwache rais wako sumbuka na huyo mumeo kenyatha ila rais wetu tuachie wenyewe kafanya makubwa sana kwa taifa letu.
 
kikwete anatakiwa ICC kwa mauaji ya mwangozi,mabomu arusha na mauaji zanzibar. inatakiwa akaeleze mahakama inakuwaje mambo hayo yatokee ili hali kuna vyombo vya usalama?
We mjinga mwangozi ndiyo nani hapa tanzania au ni mjomba wako we chizi kweli.
 
Mkuu nakushauri kenyatha akuoe ili uwe naye karibu ufaidi pendo lake unaonekana kumpenda sana lakini sisi jk ni kiongozi wa mfano kwetu kama watanzania.
 
anatakiwa ICC kwa mauaji ya mwangosi,mabomu arusha na mauaji zanzibar. inatakiwa akaeleze mahakama inakuwaje mambo hayo yatokee ili hali kuna vyombo vya usalama?
Afadhali kikwete huyu mwingine inasemekana alishiriki moja kwa moja kwa kununua mapanga na mashoka na kuwalipa vijana wasiokuwa na kazi!
 

Na naona listi ya wanaojitokeza wote wamelandana na JK kama watoto mapacha! Mtu kama Membe ni photocopy ya JK kabisa... Makamba mh...
 
Mkuu nakushauri kenyatha akuoe ili uwe naye karibu ufaidi pendo lake unaonekana kumpenda sana lakini sisi jk ni kiongozi wa mfano kwetu kama watanzania.
Unaaibisha wanawake..maana unachangia pumba mno
 
wakati mwingine hizi sifa ni za kijinga kabisa ,Watu wanakufa kwa kunywa chang'aa na aende kule Rift valley wananchi wakula mizizi na hiyo ripti ni nzuri kwa ma- setla wa kenya ,lakini sio raia wa kawaida katika kenya wanamaisha magumu,hiyo ni pesa ya wazungu waliowekeza tangu ukoloni na haya mshirika ya pesa yanatupa sifa kutokana na faida katika nchi husika na ma-setla wao
 

Locals dont own and run Tanzania my friend. Do a little more research
 
Bado wa wananchi ni watumwa katika nchi yao ,hakuna haja ya research katika njaa na chang'aa ,watu wanalia kwa umaskini huko rifty valley na njaa juu,wacha sifa
 
tanzania hakuna umaskini? :lol: every single report that has ever been done on the middle class in africa or east africa shows kenya has by far the largest middle class in east africa. deny independent statistics does not change anything.
 
taifa linapokuwa tajiri,serikali inaweza kutoa huduma za kijamii vizuri maana kodi hupatikana kubwa hivyo na mwananchi masikini kufaidika
Ushabiki mwingine ni wa kijinga
mm nauita ushakunaku
huwezi mlinaganisha Kikwete na Uhuru mvuta WIDI hata siku moja
muulizeni Kenyata kwanini hakanyagi Mombasa au mikoa ya Pwani?
kwanini watu wanamalizana kila uchao si askari si Wanajeshi
salama tena haipo Pwani ya Kenya na hadi wanataka kujitoa?

Hai km hii umeshaiona hapa Tanzania? Viongozi wa Dini ya Kiislamu wanauawa kila siku Kenyata keshawahi toa tamko lolote? Sheikh Salim Bakari Mwarangi shot and killed in Likoni - Mombasa - nation.co.ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…