Kenya's Elite Squad, RECCE squad victory at dusit..

Poleni sana majirani.
Pia hongereni kwa kuwamaliza wavamizi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ugaidi nyamaza mzee tuombe mungu apishilie mbali huku kwetu kwa kuwa ikitutokea itakuwa balaa kama moh katekwa mbele ya CCTV camera na mtaa unaolindwa kuliko yote na hakupatikana na Kama ww mwenyewe unaweza kwend a mbele ya kituo Cha polisi chochote na usisachiwe no mungu tu apishie mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili shambulio wanausalama wamekuwa very organised kuliko la West Gate. Wanajeshi hawakushirikishwa moja kwa moja kama ilivyokuwa kwa West gate.

We all know yaliyotokea pale West Gate. Wanajeshi walimuua mmoja wa kikosi cha ''RECCE SQUAD" na matokeo yake kikosi kazi cha RECCE kikajiondoa kwenye mapambano. Wanajeshi hawa pia waliiba vitu madukani.

Kuruhusu kikosi cha GSU ''RECCE SQUAD" kufanya yale waliyosomea was the best thing na matokeo yake ndiyo hayo. BRAVO KENYA.
 

The dictatorship around here is appalling
 
Kenya bana, intelligence sifuri kabisa ndio maana hawa Alshabab wanawanyanyasa kila siku.


Unajua hata unachosema....siku zote Wadanganyika wengine wana mavi in between their ears
 
Hahaha inaitwa nepotism
 
Poleni sana jirani zetu Wakenya lakini RECCE nawakubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…