Kenya's Elite Squad, RECCE squad victory at dusit..

Naskia kuna magaidi walichomoka ni kweli?
Pili kuna haja kuimarisha intelligence yenu kwasababu kuna kula dalili hawa watu wapo wengi Kenya.
 
Naskia kuna magaidi walichomoka ni kweli?
Pili kuna haja kuimarisha intelligence yenu kwasababu kuna kula dalili hawa watu wapo wengi Kenya.
Aliyedhaniwa kuwa gaidi ni huyu soldier because mavazi yao yalikuwa same na pia venye alivaa kofia ni sawa na venye yule gaidi alivaa kofia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya bana, intelligence sifuri kabisa ndio maana hawa Alshabab wanawanyanyasa kila siku.

Tungejaribu kuvaa viatu vyao kwanza kabla ya ku judge.
Unless if you think TISS can do better than them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…