Kenya's Eric Omondi Bags Best African Comedian Award

Huyu anakwama kwenye lugha tu, ila Omondi hampati hata kidogo
Si asomee /ajifunze lugha?
Walimu wapo/shule/vyuo vipo kwanini hawataki kujiendeleza?
Anyway,yawezekana wigo walionao umewatosha.
 
Tanzania tupo nyuma sana kwenye industry ya Comedy. Japo mimi ni mtanzania lakini katika hili siwezi kuwa mnafiki. Nmekuwa mfuatiliaji sana wa Comedy za Kenya toka kitambo. Hawa jamaa wako vizuri kianzia hata kiandika scripts zao siyo sawa na sisi.

Sisi waTz tumekuwa tukijidanganya kwamba lugha tunayotumia ndio tatizo linalotufanya tinashindwa kufika mbali lakini huo sio ukweli, hiyo ni just excuse.

Shida Bongo tunalazimisha vipaji.
 
Jombaaa unaijua hiyo namba hapoo?
Tz kuna komedi mzee acha kabisaaa. Achana na akina Pilipili sjui kina Idriss hao hamna kituuu.
Kama unabisha Ijumaa hii nenda pale Kisenga hall Millenium tower halafu ulete mrejesho
 

Akina Masanja walikua wanaigiza vizuri sana kwa kutumia sare za polisi, haikua haki kuwakataza, ikiwa hata Marekani utakuta kuna movies huigizwa na wasanii waliovalia mavazi hata ya wakuu wa polisi.
 
Erikoh!Huku tzedi tunamwita eliki
 
Wewe Binti Mdogo umenitusi kwenye Uzi mwingine na huku na wewe unaongea yaleyale,
you owe my apology.
 
Kenyan comedians have never acted as if they are retarded yaani, character ya huyu muigizaji ni kujifanya punguani ili watu wacheke.
And back to the fans he wins, if a million laughs then who cares about two or three criticizing Kenyans,
I never knew if even comics has formality, wakenya mna mambo kweli..
 
And back to the fans he wins, if a million laughs then who cares about two or three criticizing Kenyans,
I never knew if even comics has formality, wakenya mna mambo kweli..
retardation is not a joke! if tanzanians find being retarded funny, then it says so much about your society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…