YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
full vituko aisee. wote wanadhani comedy nikujifanya punguani. ona huyu aliyevaa shati ya blue hapo kushoto!Hahaha![emoji1] Ndio hawa hapa hao macomedian wa Tz. [emoji]23[emoji23][emoji23]![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
full vituko aisee. wote wanadhani comedy nikujifanya punguani. ona huyu aliyevaa shati ya blue hapo kushoto!Hahaha![emoji1] Ndio hawa hapa hao macomedian wa Tz. [emoji]23[emoji23][emoji23]![]()
full vituko aisee. wote wanadhani comedy nikujifanya punguani. ona huyu aliyevaa shati ya blue hapo kushoto!
shida matatizo![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wanafanya part time Mjengo.
Si asomee /ajifunze lugha?Huyu anakwama kwenye lugha tu, ila Omondi hampati hata kidogo
Jombaaa unaijua hiyo namba hapoo?Tanzania tupo nyuma sana kwenye industry ya Comedy. Japo mimi ni mtanzania lakini katika hili siwezi kuwa mnafiki. Nmekuwa mfuatiliaji sana wa Comedy za Kenya toka kitambo. Hawa jamaa wako vizuri kianzia hata kiandika scripts zao siyo sawa na sisi.
Sisi waTz tumekuwa tukijidanganya kwamba lugha tunayotumia ndio tatizo linalotufanya tinashindwa kufika mbali lakini huo sio ukweli, hiyo ni just excuse.
Shida Bongo tunalazimisha vipaji.
Tanzania tupo nyuma sana kwenye industry ya Comedy. Japo mimi ni mtanzania lakini katika hili siwezi kuwa mnafiki. Nmekuwa mfuatiliaji sana wa Comedy za Kenya toka kitambo. Hawa jamaa wako vizuri kianzia hata kiandika scripts zao siyo sawa na sisi.
Sisi waTz tumekuwa tukijidanganya kwamba lugha tunayotumia ndio tatizo linalotufanya tinashindwa kufika mbali lakini huo sio ukweli, hiyo ni just excuse.
Shida Bongo tunalazimisha vipaji.
Erikoh!Huku tzedi tunamwita eliki/Courtesy
Comedian Eric Omondi bagged the Best African Comedian award at the 4th annual African Entertainment Awards, USA.
The event was held in New Jersey USA where Eric, who was among the hosts manged to beat the likes of Nigeria’s Basketmouth and Salvado from Uganda.
Eric has established himself both in Africa and abroad keeps expanding his reach through frequent travels and exploring different uncharted areas in comedy.
Other winners during the AEAUSA 2018 include Diamond Platnumz as Best Male Artist of the year and his brother Romy Jones as Best DJ of the year.
Read: Diamond’s Ex Lynn Calls Him A ‘One-minute Man’ In Bed
Nigeria’s Yemi Alade won the best Female Artist of the year, for the second time, after winning the same award at the AFRIMMA awards 2018.
https://www.kahawatungu.com/2018/10/22/eric-omondi-bags-best-comedian/
Wewe Binti Mdogo umenitusi kwenye Uzi mwingine na huku na wewe unaongea yaleyale,Labda hawa wanawake wa bongo wanapeleka uzembe hadi kitandani jambo ambalo laweza fanya mwanaume kuchoka haraka na kuachana naye .uvivu ni mojawapo ya sifa za wabongo.Diamond naye na madem duh! Sijui wanampendea nini .pengine hela. He is not goodlooking at all
And back to the fans he wins, if a million laughs then who cares about two or three criticizing Kenyans,Kenyan comedians have never acted as if they are retarded yaani, character ya huyu muigizaji ni kujifanya punguani ili watu wacheke.
retardation is not a joke! if tanzanians find being retarded funny, then it says so much about your society.And back to the fans he wins, if a million laughs then who cares about two or three criticizing Kenyans,
I never knew if even comics has formality, wakenya mna mambo kweli..