Kenya's exports to Tanzania up 28.5pc in first five months

Tanzania Ni soko kubwa sana la Kenya.
Ni kama china inavyoitegemea Marekani.
Trump kawagusa wachina tako kidogo wachina wanalia lia sana.
Magufuli aliwagusa wakenya tako kidogo wakenya wakalia lia sana
 
Kuna Mkenya humu alisema TZ ni maskini hatuwezi ku-afford kununua bidhaa za KE sababu sisi TZ ni LDC. Hii habari inapingana nae.

Ukweli ni kwamba tunategemeana sana kuliko hizi vita na majigambo ya hapa JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ata miongoni mwa maskini, kuna yule hohehahe.
Tanzania mko bottom of the pyramid.
Ww mkenya amini ww ni masikini pambana sana ukifika walau per capital ya $3000 uje apa tena...
Tunaishi kwenye nchi changa kiuchumi sioni haya ya ww kubweka kama zuzu
 
Kwaivo unataka kusema Tanzania ni the same somalia eh😀😀😀
 
Sina maana iyo mkuu..
Na hii ndio sisi tunamaanisha hata kama tz na somalia maskini Tanzania ni tajiri kushinda Somalia, the same case aplies to ken and tz😀😀😀
 
A country that imports basic things like cooking oil is truly and surely LDC. Cooking oil is one of the easiest things to manufacture.
And that's why this country only has the purchasing power to import 2 cars as you put it.
Kenya assembles many buses, trucks, pick ups and even small cars. These plants were established by the manufacturers to serve the entire region, but sadly Tanzania is too poor to buy any.

As for whether we import the parts, it doesn't take away the fact that the final assembly happens here. The world is interconnected. Not a single factory in the world, no matter the industry, manufactures all its parts.

And by the way, sikusema kuuza pipi ni vibaya. Nilisema hamna pesa ya kununua vitu high value.
Sasa ngoja nikuulize tena swali jingine.

Asilimia kubwa ya pato la taifa la Kenya inatokana na kuuza bidhaa zinazotoka ktk assembly plant zenu mfano magari au zinatokana na mali asili na mazao yatokanayo na kilimo kama maua n.k?

Je hao Paskstan ambao wanaongoza kununua vitu kwenu, Uholanzi, UK, na USA wanawaletea pesa zaidi kwa kununua bidhaa gani?

Mimi nimeona chai, maua, ... n.k.
Sijaona gari au machinery tools, au Computers n.k.

How did you pass exams if comprehension is your biggest problem? Huku TZ kuna maswali kama "Read the following passage and answer the following questions". Sasa kwa uelewa wako mdogo ungefeli. Najua hata Kenya kuna hiyo kitu ya comprehension kwenye mitihani ya English au ufahamu kwenye kiswahili.

Kwani ubongo wako umejaa nini?
I was using your words against you.
Kweli elimu bongolala ni bure kabisa.
You chose wrong words. No correlation.
Nilimchagua Mo Salah makusudi. Nilitaka indirectly badala ya Mo Salah ufikirie nchi ya Egypt wananunua zile gari 2, pia nilichagua Egypt sababu ina purchasing power kubwa kuliko TZ.
 
A country that imports basic things like cooking oil is truly and surely LDC. Cooking oil is one of the easiest things to manufacture.
And that's why this country only has the purchasing power to import 2 cars as you put it.
Kenya assembles many buses, trucks, pick ups and even small cars. These plants were established by the manufacturers to serve the entire region, but sadly Tanzania is too poor to buy any.

As for whether we import the parts, it doesn't take away the fact that the final assembly happens here. The world is interconnected. Not a single factory in the world, no matter the industry, manufactures all its parts.

And by the way, sikusema kuuza pipi ni vibaya. Nilisema hamna pesa ya kununua vitu high value.
Hizo product expensive mnazo assemble Kenya na kuuza zaidi huko kwenye purchasing power ya juu mbona sijaona zinaongoza ktk kuleta pato la taifa kuliko bidhaa ndogo ndogo kama mnazouza kwenda LDCs na kwenda Ulaya, Marekani na Pakstan?

Mimi naona mauzo yenu yote makubwa bila kujali uchumi wa mteja wenu ni bidhaa za kawaida kama ulizo zipondea na bidhaa za kilimo.

Magari toka kwenye assembly plant zenu huku bongo sio mengi(mimi sija yaona kabisa) labda Dell PCs zilizo tengenezwa china kwa soko la Kenya naziona bongo ingawa unasema hatuwezi ku-afford. Naona gari nyingi tu mpya sio used toka Japan, Ulaya na USA lakini sioni za kutokea Kenya. Sasa sijui tunawezaje ku-afford kununua direct toka nchi hizo za mbali tunashindwa za kutoka Kenya ambazo usafiri ni rahisi mno.

Kubali tu kwamba sisi tunategemeana sana.
 
Kenya ina capacity ya kuassemble vitu kadhaa za value ya juu, lakini juu majirani wetu ni hohehahe, inabidi tuzitumie tu sisi wenyewe.
Hatuwezi export malori na mabasi nchi za mbali kwa sababu ya venye corporations kama Toyota na Isuzu ziko structured.

Na hayo magari unayosema unayaona Tanzania ni second hand. 99.9%.
Na sisemi Kenya tunaassemble magari yote. Lakini sana basi na lori.
 
Let say I bought 20 million metric tonnes of cooking oil worth $100,000 from Kenya and Mo Salah bought 2 cars worth $72,000 assembled in Kenya. Who brought more foreign currency in Kenya?
Don't forget hizo gari 2 mlizo uza nanyi Kenya mlifanya ku import parts karibu zote toka nchi nyingine.
Na hayo mafuta karibu kila kitu kimezalishwa Kenya kuanzia raw materials toka agricultural products kule kwa wakulima wenu.
Ajira inaanzia shambani hadi kiwandani.

Hizo car assembly plants kuna automation sana zina ajiri watu wachache sana, tena wengi ni wageni sababu ya technology.

Utaona ni bora hizo food processing plants na manufucturing industries kuliko assembly plants. Ni bora kuuwauzia pipi na mafuta mengi jirani zenu LDC unapata faida nyingi kuliko hizo magari pesa nyingi inaenda Japan, China, Germany n.k.
Titicomb wewe umetokea wapi?
 
Kenya ina capacity ya kuassemble vitu kadhaa za value ya juu, lakini juu majirani wetu ni hohehahe, inabidi tuzitumie tu sisi wenyewe.
Hatuwezi export malori na mabasi nchi za mbali kwa sababu ya venye corporations kama Toyota na Isuzu ziko structured.

Na hayo magari unayosema unayaona Tanzania ni second hand. 99.9%.
Na sisemi Kenya tunaassemble magari yote. Lakini sana basi na lori.
Toyotas and Isuzus bought by GOT and GoU are from Toyota Kenya and GM eastafrica in kenya Few EastAfricans including individual kenyans can buy new cars from toyota/GM/simbacolt So yes, Tz does buy "kenyan" expensive goods.
The only expensive things that kenya manufactures and Tanzanians do not buy are Masaai Jewellry, African Wear, soapstone and woodcarvings..But its not because of poverty but lack of intrest. These are bought by EU nations together with the normal Tea, Coffee and horticulture
 
wewe mkenya mpuuzi jifiche uzuie ujinga kuenea.

hivi unajua taasisi za serikali na za kibiashara tz zinaagiza gari ngapi kila mwaka ambazo ni 0km???unadhani kwanini hazinunui hapo kenya badala yake japan na ujerumani??ukweli ni kwamba hata hapo kenya mlengwa ni serikali na kampuni sio wewe pumbujoroe.

unadhani kununua gari mpya ni kuamua tu???
 
A country that imports basic things like cooking oil is truly and surely LDC. Cooking oil is one of the easiest things to manufacture.
And that's why this country only has the purchasing power to import 2 cars as you put it.
upload_2018-7-17_12-3-18.png

So, Kenya is an LDC too, like I've told you before.

Kenya assembles many buses, trucks, pick ups and even small cars. These plants were established by the manufacturers to serve the entire region, but sadly Tanzania is too poor to buy any.

upload_2018-7-17_12-10-32.png

That's how many CARS (Let's assume it's only cars cos even mikokoteni are categorized in the same group) in value exported by Kenya. Half a billion per month roughly, which is almost 60m$ a year!

upload_2018-7-17_12-25-31.png

Above is Tanzania's transport equipment import data in '000 USD. Nearly half a billion$ worth from China and Japan, ten times your yearly exports of total transport equipment.
We buy almost 70m$ worth from South Africa, more than your entire annual export to the world.
Kenya is very minor, almost negligible in the global auto game. Why the f will we buy your wack ass cars assembled by chan'gaa drinkers and khat chewing chokoraas?

You are not serious!!!
 
Attachments

  • upload_2018-7-17_12-23-50.png
    upload_2018-7-17_12-23-50.png
    10.9 KB · Views: 18
View attachment 811936

So, Kenya is an LDC too, like I've told you before.

View attachment 811947
That's how many CARS (Let's assume it's only cars cos even mikokoteni are categorized in the same group) in value exported by Kenya. Half a billion per month roughly, which is almost 60m$ a year!

View attachment 811967

Above is Tanzania's transport equipment import data in '000 USD. Nearly half a billion$ worth from China and Japan, ten times your yearly exports of total transport equipment.
We buy almost 70m$ worth from South Africa, more than your entire annual export to the world.
Kenya is very minor, almost negligible in the global auto game. Why the f will we buy your wack ass cars assembled by chan'gaa drinkers and khat chewing chokoraas?

You are not serious!!!

We import some easy, cheap things. Tanzania imports everything.
 
Toyotas and Isuzus bought by GOT and GoU are from Toyota Kenya and GM eastafrica in kenya Few EastAfricans including individual kenyans can buy new cars from toyota/GM/simbacolt So yes, Tz does buy "kenyan" expensive goods.
The only expensive things that kenya manufactures and Tanzanians do not buy are Masaai Jewellry, African Wear, soapstone and woodcarvings..But its not because of poverty but lack of intrest. These are bought by EU nations together with the normal Tea, Coffee and horticulture

Money brings interest. It's called disposable income.
Tanzanians can barely afford the 3 basic things in life. How can they have interest for luxuries?
 
Basic things are scarce in Kenya, plenty in Tz, example food availability, world wide known, land for housing is plenty, clothes? Gikomba nigas from Tz wanawavalisha common majority wananchi in nairobi. I see northern kenya nilotes wearing matambala ya kudekia.
Conclusion from my short thesis on de availability of 3 basic things in life indicates y'all are in a worse condition compared to Tz.
 
Tanzania the land of milk and honey.
I wonder why thousands of your omba ombas cross over to flood Kenyan towns.
 
Back
Top Bottom