Kenya’s first satellite to be launched in space

Kwa hivyo Jubilee ina "nunua" opposition party leaders not MCAs that makes them much more intelligent than those "buying" councellors? Or how else do you spin your propaganda to serve your silly mind? 😀
Me and who? Its only me here. Concentrate. Raila alinunuliwa kwa hela ngapi? Tuambie wewe kwasababu ni baba yako. Very cheap man aliwasiliti baada ya kuahidiwa kwamba 2022 ataungwa mkono. Aibu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hii ni ya Japan au Kenya?, mbona wataalamu wa anga wetoka Italia na Japan pia inarushiwa hukohuko japan, isije ikawa kama usajili wa meli kusajiliwa nchi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…