Kenya’s first satellite to be launched in space

Kenya’s first satellite to be launched in space

Kwa hivyo Jubilee ina "nunua" opposition party leaders not MCAs that makes them much more intelligent than those "buying" councellors? Or how else do you spin your propaganda to serve your silly mind? 😀
Me and who? Its only me here. Concentrate. Raila alinunuliwa kwa hela ngapi? Tuambie wewe kwasababu ni baba yako. Very cheap man aliwasiliti baada ya kuahidiwa kwamba 2022 ataungwa mkono. Aibu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni propaganda yako mwenyewe, utuabie wapi soko la kununua madiwani na kununua Raila odinga etc. na wana nunuliwa kwa hela gapi..Mimi sina habari kama hizo
jkxXHMw.jpg
 
Sasa hii ni ya Japan au Kenya?, mbona wataalamu wa anga wetoka Italia na Japan pia inarushiwa hukohuko japan, isije ikawa kama usajili wa meli kusajiliwa nchi yoyote.
 
Back
Top Bottom