Kenya’s first satellite to be launched in space

Satellite is a very old technology that has been bypassed by other mordern communication systems like fiber. There so many satellites in orbit and any government or even private individuals can simply hire and conduct their research in farming, hydrology, forest cover etc.
 
duh,povuuuuu hilo lote😀
Wewe nawe hamnazo kabisa, sasa unaona anachokifanya North Korea ni sawa?, hata madawa hospitalini hawana lakini wamekazana na kutengeneza nuclear weapons, leo hii linganisha South Korea na North Korea kimaendeleo, ni sawa na mbingu na ardhi. Mtu yeyote mwenye busara hawezi kufikiria maendeleo yoyote kama hajajitosheleza katika "human basic needs", yaani 1)Chakula, 2)Maji, 3)Malazi, 4)Mavazi, 5)Afya na 6) Elimu. Acha kutetea ujinga wa wakenya, hata chakula wanategemea donations, eti wanashughulika na satelite hivi sasa, Kenya is a confused country.
 
Kama chakula na maji hamuwezi kujitosheleza, hiyo satelite ikirudi italeta gunia za chakula?, acheni vituko ninyi nyang'au.

Kazi Kenya katika nyanja zingine haitasimama kwa sababu wakimbizi wana upunguvu wa mahindi Dadaab! Kazi iendelee..
 
Acha kujificha nyuma ya kivuli chako mwenyewe, unga ulipokosekana Kenya nzima hadi mkawa mnapangiwa kiasi gani kwa mtu mmoja kununua unga toka supermarks, ilikua ni wakimbizi?, serikali ilipoagiza mahindi toka Mexico ni kwa ajili ya wakimbizi?, mwenye jukumu la kulisha wakimbizi ni UN, ninyi hamuhusiki kwa lolote zaidi ya kuwapa hifadhi na ulinzi, hiyo njaa ni yenu.
 
Satellite is a very old technology that has been bypassed by other mordern communication systems like fiber. There so many satellites in orbit and any government or even private individuals can simply hire and conduct their research in farming, hydrology, forest cover etc.
Why hire when you can send one for free? That 100 million shillings was paid by the Japanese govt. Kenya literally spent almost nothing and in the process our scientists gained technical experience from Japanese scientists. You cannot tell someone to stop doing research using satellite because there is fibre. That is just faulty reasoning. Why not use both because they have different advantages and disadvantages. Also when will Kenya ever say that they have a satellite in space? Ama sisi waafrika kazi yetu ni kutukanwa tu na wazungu eti we are uncivilized eti sijui primitive. It's about time we roll up our sleaves and start working. Mambo ya kuhire things out haiwezi kuleta knowledge transfer. Finally, mambo ya kusema kila saa eti x is outdated so we must do y which is modern, is not always the best option. Hio inaitwa group think and it's not always the best option. Not everything that is modern is good. Some old technologies can be cheaper. Or some old technologies can create more employment than new ones. For example Poland uses coal heavily even though Germany is going solar. Why? Because coal is cheaper and Poland can't afford solar but Germany can afford solar. So the argument you are making that we should shun old technology and go for new technology is misplaced, sometimes the old tech is cheaper and better in some ways.
 
You need a constellation of satellites at different altitudes and orbits to conduct any meaningful reaserch or communications. These can be cheaply hired and some of them are even free for use by Metrological departments. What will 1 small micro satellite do? even if its free from japan it cannot serve any purpose unless its in a constellation. And mostly people are missing the point, the satellite is easy to make but the rocket propulsion,launch pad and telementy is very complex and Japan have not transfered that to kenya.
Kenya has other immediate problems bigger than satellite communications. Food security or Agricultural production can be solved by other technology like simple irrigation not launching satellites
 
The cost is $1m, this is equivalent to 25m×25m plot in Sinza.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Satellite yenyewe itatumika kufanya utafiti wa kuboresha ukulima. Matapishi yako yameze tena kama mbwa koko.
Hahahahahahahahahaha, satelite yenye ukubwa wa chupa ya maji ya kunywa na uzito wa kilogram moja, itumike kufanya utafiti wa kilimo. Hivi kumalizie ule mradiwa Galana irrigation project tunahitaji kurusha satelite ili kujua kama mvua itanyesha au hapana?
 
Nchi ya Kenya inatarajia kurusha satelite yake mpya iliyotengenezwa na wakenya wazawa, satelite hiyo imetengenezwa kwa dola milion 1 za kimarekani.

Hii ni hatua muhimu kwa ukuaji wa technolojia nchini Kenya,

nini maoni yako kwa Watanzania.
20180508_105321.jpg
 
Hahahahahahahahahaha, satelite yenye ukubwa wa chupa ya maji ya kunywa na uzito wa kilogram moja, itumike kufanya utafiti wa kilimo. Hivi kumalizie ule mradiwa Galana irrigation project tunahitaji kurusha satelite ili kujua kama mvua itanyesha au hapana?
Policy na sifa za kijinga, unaumwa na tumbo lakini unaenda hospitali na kuagiza ufanyiwe brain surgery with the latest equipment 😀
 
Policy na sifa za kijinga, unaumwa na tumbo lakini unaenda hospitali na kuagiza ufanyiwe brain surgery with the latest equipment 😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hizo akili huwezi kuzipata popote zaidi ya Kenya. Ndiyo sababu kila siku tunaona GDP haisaidii kabisa kutoa ufumbuzi wa matatizo ya Kenya, kila siku hali ya Kenya inazidi kuwa mbaya pamoja na GDP kuambiwa inaongezeka.
 
Hahahahahahahahahaha, satelite yenye ukubwa wa chupa ya maji ya kunywa na uzito wa kilogram moja, itumike kufanya utafiti wa kilimo. Hivi kumalizie ule mradiwa Galana irrigation project tunahitaji kurusha satelite ili kujua kama mvua itanyesha au hapana?
Teknolojia hiyo. Wewe endelea kungoja barua zako posta. Kenya ndio nchi ya sita Afika kurusha satellite. Tafakari hayo.
 
Teknolojia hiyo. Wewe endelea kungoja barua zako kwa posta. Kenya ndio nchi ya sita Afika kurusha satellite. Tafakari hayo.
Technolojia ipi inayosababisha kushindwa kumalizia Galana project ili muondokane na aibu ya njaa kila mwaka?, acheni kuchekesha dunia, anzeni kuwa serious japo umrudishe heshima yenu duniani iliyoporomoka kwa sababu ya njaa.
 
Wewe hizi akili zako za kununua madiwani zimepitwa na wakati.
 
Kila kitu kina wakati wake, Kenya kwa sasa hampaswi kuzungumzia mambo ya satelite wakati chakula na maji hakuna, nani amewaloga ninyi nyang'au?
 
Odinga amekuwa diwani eeh? Ilikuuma sana mwanamgambo. 😀
Kwa hivyo Jubilee ina "nunua" opposition party leaders not MCAs that makes them much more intelligent than those "buying" councellors? Or how else do you spin your propaganda to serve your silly mind? 😀
 
Back
Top Bottom