Kenya's Future Looks Bright

Its the only transport hub in the region, really??? Sound like a day dream.
 
Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
 
It's happening within our lifetime.
23 millions tonnes of cargo and a million passengers count per annum moving at a speed of 120 km/h

It's not just an animation, we are seeing it coming into life.....

Djibouti????? Looool .....maybe sasa ungesema Tanzania
Hapa unajaribu kuzima moto tuu, unajuwa Djibouti wanaweza kuwa shida kwa Mombasa au Lamu. kwa sehemu waliopo. Maana ni karibu na Arab, karibu na Suez canal, Mediterranean.
 
Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
Na si Kenya kwa miaka mingi sasa imekuwa ikiwauzia mafuta yaliyosafishwa? Hizo miundo mbinu tayari tunazo bwana wee. Na bado twaongeza!
 
Mechi haijaisha mnasema kwenu ndio hub ya EA yote, sasa Djibouti, Tanzania watasema nini?
Hawa watasema yao siku ile watafanikiwa kuweka infrastructure zao na kuipiku Kenya as the regional hub. But meantime, that distinction still belongs to us.
 
Hawa watasema yao siku ile watafanikiwa kuweka infrastructure zao na kuipiku Kenya as the regional hub. But meantime, that distinction still belongs to us.
Wanapaisha sauti kubwa kabla ya kipenga cha mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…