Kenya's Future Looks Bright

Kenya's Future Looks Bright

Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
Wacha mambo ya bomba la mafuta wee...The animation is about the project that on-going...
 
Yetu ni reality, a Titanic development being undertaken day and night, wakenya hatulali Ng'ooo!!!
 
Bado viroja mtaviona nyie! Acha nianze kurusha picha za lappset mtatii!
 
Hapa unajaribu kuzima moto tuu, unajuwa Djibouti wanaweza kuwa shida kwa Mombasa au Lamu. kwa sehemu waliopo. Maana ni karibu na Arab, karibu na Suez canal, Mediterranean.

Arab wanaproduce nini kisichokua Africa?...kama ni mafuta tayari tunayo Afrika tena ugunduzi umeongezeka maradufu na yameanza kuchimbwa tayari...CHINA ndiyo muziki wote mkuu!....njia kuu kutoka CHINA inaishika Mombasa moja kwa moja!....😛😛
 
Kenya lipo kutoka Mombasa hadi Eldoret. Tanzania lipo wapi?
Sasa una akili timamu ww? Kabisa na ujinga wako badala ya kukaa kimya ukiwa unajijua huna akili unaropoka!! [emoji45] [emoji45] ,Anyway Ukabila umetawala Kwnye mbongo zenu!!
Ask Google bomba lipi la mafuta AFRICA MASHARIKI NA KATI

~Cmb
 
Tuliza mapumbu weeee!!, vipi mama ntilie hawajakuandalia ubwabwa hapo kitaa??
 
Arab wanaproduce nini kisichokua Africa?...kama ni mafuta tayari tunayo Afrika tena ugunduzi umeongezeka maradufu na yameanza kuchimbwa tayari...CHINA ndiyo muziki wote mkuu!....njia kuu kutoka CHINA inaishika Mombasa moja kwa moja!....😛😛
Nadhani hukuelewa nilichokuwa nasema, Djibouti ni tishio kwa Mombasa na Lamu, kwasababu iko Afrika na ipo karibu na nchi za kiarabu na nchi za ulaya. Kwasababu wako Afrika na Afrika ndio kwenye rasilimali nyingi, Djibouti walisha amuwa kubadili nchi yao kuwa the biggest logisic center ya Afrika. Hii sio tishio kwa kenya peke yake, ni tishio kwa Dubai, Istambul na Cairo. Wameanza kupanuwa airline yao, wachina wanajenga naval base ya kwanza nje ya China. Wamesha jenga reli mpaka Addis Ababa, wanajenga bomba la mafuta kwenda Ethiopia wakitegemea kulifikisha Sudan kusini. bandari yao ni deep water tofauti na Mombasa au Lamu, ukiwa na deep water port, unaweza kuingiza meli na kutoa msaa 24.
 
The natural depth of the port of djibouti is 17.5m and that of Lamu port is 18m and ur shelved bagamoyo port is 14 to 15m
 
Bandari ya djibouti natural depth yake ni 17.5m
Lamu port ni 18m

And finally natural depth ina determine the size of the ship ambayo itakayo tia nanga katika bandari fulani na sio masaa itakayo chukua kuondoka hapo.
Kama lamu port meli ambayo inabeba container kati ya 8,000 na 12,500 inaeza tia nanga hapo

Nakataa ukisema depth ndio inachagia bandari kuweza kupokea meli nyingi, wave length ndio inachangia kwa bandari kufanya kazi vizuri. Angalia ramani ya Djibouti, you'll see wako shield na Gulf of Aden kitu ambacho kinawapa advantege zaidi ya Lamu na Mombasa, wao wanauwezo hata wa kuleta meli halafu wakaziweka off shore na kutumia meli zingine ndogo kupakuwa mzigo because their ocean is calm all year round.The same reason Ugandan na Total walichagua bandari ya Tanga kwasababu iko shield na kisiwa cha Pemba.
 
Soma bandiko langu vizuri kwa sababu hakuna mahali nimesema kwamba eti depth ndio inachangia bandari kupata meli nyingi.
Anyway just google.
 
Wewe ndio husomi vizuri, its calm of the ocean inachagia kupata meli nyingi. kama una bahari iliyo tuliya na unaweza kupakuwa na kupakia meli hata nje ya bahari, huoni kama wao wanauwezo wa kufanya kazi 24hrs. (40m depth)

Port de Djibouti - Services

4ec0da27be23fa9ab78a5793f36aa259.jpg

2fa5cbfd832dcf5a7d711e725ef0d2ff.jpg
 
Nakataa ukisema depth ndio inachagia bandari kuweza kupokea meli nyingi, wave length ndio inachangia kwa bandari kufanya kazi vizuri. Angalia ramani ya Djibouti, you'll see wako shield na Gulf of Aden kitu ambacho kinawapa advantege zaidi ya Lamu na Mombasa, wao wanauwezo hata wa kuleta meli halafu wakaziweka off shore na kutumia meli zingine ndogo kupakuwa mzigo because their ocean is calm all year round.The same reason Ugandan na Total walichagua bandari ya Tanga kwasababu iko shield na kisiwa cha Pemba.
The issues here is depth and the size of the ships that can dock in a particular port of a certain depth.

Kwa mfano bagamoyo port ina depth ya 14 to15m and so is the port of mombasa kwa hivyo meli ambazo zinaweza tia nanga hapa ni zile ambazo hazijabeba more than 6,000Teus (twenty foot equivalent units)

Lamu ni 18 meter bfr dredging
so kunaeza ingia meli iliyo beba container kati ya 8,000 to 12,500

What are Deep Water Ports?
 
Seems like tunaongelea kuhusu vitu viwili tofauti
Ukirudi juu utaona nilisema wave leath ndio inachangia kupata meli nyingi na sio the depth of the port, kunawakati Mombasa inashindwa kuingiza meli because ya wave is too much. Unafikiri kwanini pirates wa kisomali wanaweza kwenda deep sea na viboti vidogo, ni kwasababu bahari ya gulf of Aden imetulia.
 
"Bandari yao ina deep water tofauti na mombasa au lamu, ukiwa na deep water port unaweza kuingiza na kutoa meli kwa masaa 24"

You said this [emoji115]
1479124300403.png
 
Back
Top Bottom