Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Kuna pipeline djiboutiSasa hapa argument ni import au pipeline?
Wacha mambo ya bomba la mafuta wee...The animation is about the project that on-going...Bomba la nafuta liko wapi? Mlisema kwa animation kama hizi hizi .......duh kazi tunayi.
Unachangaya mambo sasa, ngoja niache umenyane na waTz wengine hapaKuna pipeline djibouti
Hapa unajaribu kuzima moto tuu, unajuwa Djibouti wanaweza kuwa shida kwa Mombasa au Lamu. kwa sehemu waliopo. Maana ni karibu na Arab, karibu na Suez canal, Mediterranean.
Sasa una akili timamu ww? Kabisa na ujinga wako badala ya kukaa kimya ukiwa unajijua huna akili unaropoka!! [emoji45] [emoji45] ,Anyway Ukabila umetawala Kwnye mbongo zenu!!Kenya lipo kutoka Mombasa hadi Eldoret. Tanzania lipo wapi?
Tuliza mapumbu weeee!!, vipi mama ntilie hawajakuandalia ubwabwa hapo kitaa??Sasa una akili timamu ww? Kabisa na ujinga wako badala ya kukaa kimya ukiwa unajijua huna akili unaropoka!! [emoji45] [emoji45] ,Anyway Ukabila umetawala Kwnye mbongo zenu!!
Ask Google bomba lipi la mafuta AFRICA MASHARIKI NA KATI
~Cmb
Nadhani hukuelewa nilichokuwa nasema, Djibouti ni tishio kwa Mombasa na Lamu, kwasababu iko Afrika na ipo karibu na nchi za kiarabu na nchi za ulaya. Kwasababu wako Afrika na Afrika ndio kwenye rasilimali nyingi, Djibouti walisha amuwa kubadili nchi yao kuwa the biggest logisic center ya Afrika. Hii sio tishio kwa kenya peke yake, ni tishio kwa Dubai, Istambul na Cairo. Wameanza kupanuwa airline yao, wachina wanajenga naval base ya kwanza nje ya China. Wamesha jenga reli mpaka Addis Ababa, wanajenga bomba la mafuta kwenda Ethiopia wakitegemea kulifikisha Sudan kusini. bandari yao ni deep water tofauti na Mombasa au Lamu, ukiwa na deep water port, unaweza kuingiza meli na kutoa msaa 24.Arab wanaproduce nini kisichokua Africa?...kama ni mafuta tayari tunayo Afrika tena ugunduzi umeongezeka maradufu na yameanza kuchimbwa tayari...CHINA ndiyo muziki wote mkuu!....njia kuu kutoka CHINA inaishika Mombasa moja kwa moja!....😛😛
The natural depth of the port of djibouti is 17.5m and that of Lamu port is 18m and ur shelved bagamoyo port is 14 to 15mNadhani hukuelewa nilichokuwa nasema, Djibouti ni tishio kwa Mombasa na Lamu, kwasababu iko Afrika na ipo karibu na nchi za kiarabu na nchi za ulaya. Kwasababu wako Afrika na Afrika ndio kwenye rasilimali nyingi, Djibouti walisha amuwa kubadili nchi yao kuwa the biggest logisic center ya Afrika. Hii sio tishio kwa kenya peke yake, ni tishio kwa Dubai, Istambul na Cairo. Wameanza kupanuwa airline yao, wachina wanajenga naval base ya kwanza nje ya China. Wamesha jenga reli mpaka Addis Ababa, wanajenga bomba la mafuta kwenda Ethiopia wakitegemea kulifikisha Sudan kusini. bandari yao ni deep water tofauti na Mombasa au Lamu, ukiwa na deep water port, unaweza kuingiza meli na kutoa msaa 24.
Bandari ya djibouti natural depth yake ni 17.5m
Lamu port ni 18m
And finally natural depth ina determine the size of the ship ambayo itakayo tia nanga katika bandari fulani na sio masaa itakayo chukua kuondoka hapo.
Kama lamu port meli ambayo inabeba container kati ya 8,000 na 12,500 inaeza tia nanga hapo
Soma bandiko langu vizuri kwa sababu hakuna mahali nimesema kwamba eti depth ndio inachangia bandari kupata meli nyingi.Nakataa ukisema depth ndio inachagia bandari kuweza kupokea meli nyingi, wave length ndio inachangia kwa bandari kufanya kazi vizuri. Angalia ramani ya Djibouti, you'll see wako shield na Gulf of Aden kitu ambacho kinawapa advantege zaidi ya Lamu na Mombasa, wao wanauwezo hata wa kuleta meli halafu wakaziweka off shore na kutumia meli zingine ndogo kupakuwa mzigo because their ocean is calm all year round.The same reason Ugandan na Total walichagua bandari ya Tanga kwasababu iko shield na kisiwa cha Pemba.
What are Deep Water Ports?Soma bandiko langu vizuri kwa sababu hakuna mahali nimesema kwamba eti depth ndio inachangia bandari kupata meli nyingi.
Anyway just google.
Wewe ndio husomi vizuri, its calm of the ocean inachagia kupata meli nyingi. kama una bahari iliyo tuliya na unaweza kupakuwa na kupakia meli hata nje ya bahari, huoni kama wao wanauwezo wa kufanya kazi 24hrs. (40m depth)Soma bandiko langu vizuri kwa sababu hakuna mahali nimesema kwamba eti depth ndio inachangia bandari kupata meli nyingi.
Anyway just google.
The issues here is depth and the size of the ships that can dock in a particular port of a certain depth.Nakataa ukisema depth ndio inachagia bandari kuweza kupokea meli nyingi, wave length ndio inachangia kwa bandari kufanya kazi vizuri. Angalia ramani ya Djibouti, you'll see wako shield na Gulf of Aden kitu ambacho kinawapa advantege zaidi ya Lamu na Mombasa, wao wanauwezo hata wa kuleta meli halafu wakaziweka off shore na kutumia meli zingine ndogo kupakuwa mzigo because their ocean is calm all year round.The same reason Ugandan na Total walichagua bandari ya Tanga kwasababu iko shield na kisiwa cha Pemba.
Seems like tunaongea kuhusu vitu viwili tofautiWewe ndio husomi vizuri, its calm of the ocean inachagia kupata meli nyingi. kama una bahari iliyo tuliya na unaweza kupakuwa na kupakia meli hata nje ya bahari, huoni kama wao wanauwezo wa kufanya kazi 24hrs. (40m depth)
Port de Djibouti - Services
Ukirudi juu utaona nilisema wave leath ndio inachangia kupata meli nyingi na sio the depth of the port, kunawakati Mombasa inashindwa kuingiza meli because ya wave is too much. Unafikiri kwanini pirates wa kisomali wanaweza kwenda deep sea na viboti vidogo, ni kwasababu bahari ya gulf of Aden imetulia.Seems like tunaongelea kuhusu vitu viwili tofauti
"Bandari yao ina deep water tofauti na mombasa au lamu, ukiwa na deep water port unaweza kuingiza na kutoa meli kwa masaa 24"Ukirudi juu utaona nilisema wave leath ndio inachangia kupata meli nyingi na sio the depth of the port, kunawakati Mombasa inashindwa kuingiza meli because ya wave is too much. Unafikiri kwanini pirates wa kisomali wanaweza kwenda deep sea na viboti vidogo, ni kwasababu bahari ya gulf of Aden imetulia.
"Bandari yao ina deep water tofauti na mombasa au lamu, ukiwa na deep water port unaweza kuingiza na kutoa meli kwa masaa 24"
You said this [emoji115] View attachment 433980