pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Tangu lini tz wakatupea chochote free? Misaada tunayopewa Kenya hata haifiki nusu ya misaada mnayopewa tz. Kama nakumbuka vizuri bajeti yenu 45% ni misaada. Vyuma vimekaza kwenu tangu 1962!Kenya thankful for China's food donation - China - Chinadaily.com.cn
Siku hizi hamuhitaji mahindi yetu tena, you hav a new husband who gives you free maize
Ujenzi wa reli Morogoro mpaka Dodoma kuanza | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | MagazetiniYani unadhani hatujui yanayoendelea Tanzania??? Mtatumia pesa zenyu kujenga phase 1 only dar-morogoro ambayo ni 300km na itagharimu $1.2b. So far serikali imetoa $125m(Tsh 290b) in the last financial year kuanzisha ujenzi...reli yote itakua 1200km na itagharimu zaida ya $3b
Hayo ati tyari tumetoa 3.4b usd kadanganye bongolala wenzako
Hizo ndege mlizonunua ndo zile za Air Tanzania? Zinaaanza kuchapa route ya Tz-China Tz-America lini? Ama ilikuwa tu ndoto za JPM na fisiemu?Ujinga wako unazidi kukomaa siku hadi siku, Bombadier imezuiliwa na mahakama baada ya kampuni husika kwenda mahakamani, sasa ulitaka tulipe kabla mahakama haijatoa uamuzi wake?, Kama tulizinunua ndege sita kwa mpigo, jumla ni zaidi ya $300M, tushindwe kulipa $30M, ni kichaa peke yake anaweza kufikiria hilo. Tumelipia $3.1B kipande cha SGR, $500M ununuzi wa electrical trains, $2.3B ujenzi wa hydroelectricity, eti tukose $30M.
Kweli ila sisi huwa tunalipa deni zetu. Tz hata kudhubutu tu ni shiida! Serikali ya frashtreshen.Hakuna nchi za kiafica ambazo hazijawahi kusamehewa deni ikiwemo kenya U.S. Forgives Portion Of Kenya's Loan Debt - NYTimes.com
Hata iweje, mnaitegemea Tanzania kwa ajili ya chakula, bila Tanzania, Kenya haiwezi kufanya lolote, sasa hivi Tanzania inaongoza kuwa destination for Kenyans investors, that means our economy is doing very good, stable, peaceful and profitable, mnatutegemea sana kwa ajira, kama ambavyo waafrika wanakimbilia Europe and America kwenda kutafuta ajira, ndivyo ambavyo mnakuja Tanzania kutafuta ajira, ila karibuni sana, sisi ni majirani tutawapokea.Tangu lini tz wakatupea chochote free? Misaada tunayopewa Kenya hata haifiki nusu ya misaada mnayopewa tz. Kama nakumbuka vizuri bajeti yenu 45% ni misaada. Vyuma vimekaza kwenu tangu 1962!
Hahahahahahaha ati mnaheshimiwa ama ni kuhurumiwa na kutumiwa wakinyakua madini yenu 24/7 huku wakisema ni shamba la bibi.Ninyi hadi leo mnabembeleza sana ili muweze kusamehewa baadhi ya madeni lakini mnakataliwa kwa sababu pesa mlizochukua mlizitumia vibaya, zungumzeni na Tanzania ikawaombee msamehewe madeni kwasababu inaheshimika na kuaminika sana.
Mmesema kwamba TZ tu ndo inasamehewa madeni,mnajifanya nyinyi hamjawahi kusamehewa.next time, msikurupuke kijinga.na ukitaka,ntakupa nyingine.Kweli ila sisi huwa tunalipa deni zetu. Tz hata kudhubutu tu ni shiida! Serikali ya frashtreshen.
Itabidi mtupokee na si tafadhali we have invested heavily in your Country na pia tunatalii huko so we literally feed you.Hata iweje, mnaitegemea Tanzania kwa ajili ya chakula, bila Tanzania, Kenya haiwezi kufanya lolote, sasa hivi Tanzania inaongoza kuwa destination for Kenyans investors, that means our economy is doing very good, stable, peaceful and profitable, mnatutegemea sana kwa ajira, kama ambavyo waafrika wanakimbilia Europe and America kwenda kutafuta ajira, ndivyo ambavyo mnakuja Tanzania kutafuta ajira, ila karibuni sana, sisi ni majirani tutawapokea.
1)Bombadier Q400. hizi zipo 3 kwa ajili ya domestic and within EAC, Zambia, DRC, Mozambique, Comorro and Sychelles. Mbili zimefika, moja imezuiliwa Canada, soon itafikaHizo ndege mlizonunua ndo zile za Air Tanzania? Zinaaanza kuchapa route ya Tz-China Tz-America lini? Ama ilikuwa tu ndoto za JPM na fisiemu?
We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?Hata iweje, mnaitegemea Tanzania kwa ajili ya chakula, bila Tanzania, Kenya haiwezi kufanya lolote, sasa hivi Tanzania inaongoza kuwa destination for Kenyans investors, that means our economy is doing very good, stable, peaceful and profitable, mnatutegemea sana kwa ajira, kama ambavyo waafrika wanakimbilia Europe and America kwenda kutafuta ajira, ndivyo ambavyo mnakuja Tanzania kutafuta ajira, ila karibuni sana, sisi ni majirani tutawapokea.
Unataka nikuchapie list ya ndege zinazomilikiwa na Kenya? Maanake ntajaza server bure tu. Aisee bado mpo kwenye shule ya chekechea, mkifika darasa la nne salama unitag jombaa.1)Bombadier Q400. hizi zipo 3 kwa ajili ya domestic and within EAC, Zambia, DRC, Mozambique, Comorro and Sychelles. Mbili zimefika, moja imezuiliwa Canada, soon itafika
2)Bombadier C300' hizi zipo 2' tunategemea zitawasili zote kwa pamoja July 2018, capacity 160 psg. Hizi ni kwa ajili ya masafa ya kati, Dubai, South Afrika, Northen and Western African regions.
3)Dream liners Boeing 787 zipo mbili, hizi ni kwa ajili ya masafa marefu, China, Europe, US
Tanzania is a country with milk and honey, many countries are struggling to invest in Tanzania. For your information, soon Tanzania will be declared as the biggest producer of gold in the World, above China, Russia and USA, who are leaders in gold production, huge deposit of gold has been discovered, this follows discovery of Helium gas last year which put Tanzania as the world number one. Karibuni sana Tanzania.Itabidi mtupokee na si tafadhali we have invested heavily in your Country na pia tunatalii huko so we literally feed you.
Kama vipi itapendeza sana ukiachana na hayo yote unifahamishe tu mkishavuka mto wa LDC jombaa. Acha hasira, relax and enjoy yourself my friend.Mmesema kwamba TZ tu ndo inasamehewa madeni,mnajifanya nyinyi hamjawahi kusamehewa.next time, msikurupuke kijinga.na ukitaka,ntakupa nyingine.
Nipe na ushahidi kuonyesha kama KQ inamiliki only one dream liner, just one, unipe ushaidi mwaka na bei hiyo ndege ilinunuliwa na KQ. Hamna uwezo wa kununua hata Bombadier C300, Rwanda imewazidi kwa mbali sana, sasa hivi wana ndege 14' including Air buses, walizonunua kwa pesa yao, ninyi ndege zote kubwa mumekodisha, ndege mlizonunua ni Bomberdier Q400 pekee, stupi KQUnataka nikuchapie list ya ndege zinazomilikiwa na Kenya? Maanake ntajaza server bure tu. Aisee bado mpo kwenye shule ya chekechea, mkifika darasa la nne salama unitag jombaa.
Povuuuu, hadi unatusi shirika nzima la KQ. Fanya utafiti wako jombaa, hiyo si kazi yangu. KQ na Air Tz wapi na wapi? Kichwa chako kinafaa kufanyiwa format, you are mental! Acha kutumia hard drugs!Nipe na ushahidi kuonyesha kama KQ inamiliki only one dream liner, just one, unipe ushaidi mwaka na bei hiyo ndege ilinunuliwa na KQ. Hamna uwezo wa kununua hata Bombadier C300, Rwanda imewazidi kwa mbali sana, sasa hivi wana ndege 14' including Air buses, walizonunua kwa pesa yao, ninyi ndege zote kubwa mumekodisha, ndege mlizonunua ni Bomberdier Q400 pekee, stupi KQ
Kweli,tupo LDC,lakini tunajenga reli 2 phases na pesa zetu,tumenunua ndege kwa pesa zetu,hatuna njaa,hayo yote kenya hamyawezi,kabla hatujaacha,proof kwamba, kenya haijawahi kusamehewa deni.Kama vipi itapendeza sana ukiachana na hayo yote unifahamishe tu mkishavuka mto wa LDC jombaa. Acha hasira, relax and enjoy yourself my friend.
Mmetuchapa wapi bana. We sasa ndo umetoka kubugia mbege nini? Huoni chizi mwenzako anavoleta ma'evidence' ambayo hayaeleweki? Tz mnafaa kujifanaisha na ndugu zenu Malawi au Afghanistan. Kenya ipo ligi ingine asee.joto la jiwe
Bitter pill
duuu hili jukwaa raha kweli, siyo tu kwa jinsi tunavyowachapa watani wetu wa hadi, bali evidence zinavyoletwa kwenye mada.
bravo guys.
Nipe na ushahidi kuonyesha kama KQ inamiliki only one dream liner, just one, unipe ushaidi mwaka na bei hiyo ndege ilinunuliwa na KQ. Hamna uwezo wa kununua hata Bombadier C300, Rwanda imewazidi kwa mbali sana, sasa hivi wana ndege 14' including Air buses, walizonunua kwa pesa yao, ninyi ndege zote kubwa mumekodisha, ndege mlizonunua ni Bomberdier Q400 pekee, stupi KQ
Unajivunia kusamehewa deni? Unajua maana ya LDC? Yes tulisamehewa deni sana tulivokuwa LDC pia. Tofauti na nyinyi tulikuwa maskini jeuri hatukuomba tusamehewe deni wala hatukuhepa majukumu yetu. Mara ya mwisho mliremit zile hela za U.N ni lini?Kweli,tupo LDC,lakini tunajenga reli 2 phases na pesa zetu,tumenunua ndege kwa pesa zetu,hatuna njaa,hayo yote kenya hamyawezi,kabla hatujaacha,proof kwamba, kenya haijawahi kusamehewa deni.