pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
We have been debating that since mid morning. I dont see any point you have brought in here about the topic. Just bitching. Man, get lost.kaka don't take on yourself and try to derail the topic. the issue at hand is the Kenya debt to GDP ratio hits 60%.
teh teh teh tihiii
They must have confused Kenya with Tanzania. You know how tz is non-existant in the international sphere? 😀 Ok I agree, no albinos have ever been killed in Tanzania. You guys are great! You can now stop googling albino and Kenya.Albinos r done what in kenya?
Jamaa ameona ni kundialala akaenda kuchapa zake za kawa, kabooster hivi, akirudi jombaa, hatoki humu hadi jumatano wiki ijayo! Hehe! 😀Jiwe linalowaka moto uko wapi. Dah! Kwani kasepa? Mara ya kwanza kuona jamaa kasepa kutoka kwa mjadala. Basi team Kenya imeshinda huu mjadala.
Haha atakuja na mwofaya. Lakini ni sawa tu. Tuko ready. Sisi pia hapana machesoJamaa ameona ni kundialala akaenda kuchapa zake za kawa, kabooster hivi, akirudi jombaa, hatoki humu hadi jumatano wiki ijayo! Hehe! 😀
Mwendawazimu ndiye anayezungumza lolote linalomjia, Kenya unemployment ni 48%, eti unashabikia investors wenu kuja kuwekeza Tanzania ili kutengeneza ajira kwa watanzania, Marekani wanapambana kila siku kuhakikisha makampuni yao hayaendi kuwekeza China badala yake yanafungua viwanda vingi ndani ya US ili kutengeneza ajira, wewe unafikiria opposite direction, akili gani hizo?We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
hujui unachoongea. bora ukae kimya na kutafakari kabla ya KUONGEA jambo.
Hapa sijaona hoja, acha iliyojengeka, hoja tu. Hamna. Hapa jf si kule insta mnakosemana na dada zenu bana.wewe sijawahi ona unatoa hoja iliyojengeka vyema. siku zote unatoa mashudu tu.
Naona unafanya revision upya. Asee si hii comment yangu uliiquote tena tulipoanza mjadala huu jombaa? Au ulikuwa upo free gear? Ungenisihi tu hapo mwanzo niende na pace yako jombaa.Wawekezaji wa kikenya hawajaihama Kenya wakaja tz kama ilivo kati ya U.S, Mexico na Uchina. Wakenya wanaongeza region ya soko lao. wapo kotekote. Kenya na nchi za E.A si nchi kubwa kama nilizotaja hapo juu na pia population zao ni ndogo ndogo. Next question please! 😀Mwendawazimu ndiye anayezungumza lolote linalomjia, Kenya unemployment ni 48%, eti unashabikia investors wenu kuja kuwekeza Tanzania ili kutengeneza ajira kwa watanzania, Marekani wanapambana kila siku kuhakikisha makampuni yao hayaendi kuwekeza China badala yake yanafungua viwanda vingi ndani ya US ili kutengeneza ajira, wewe unafikiria opposite direction, akili gani hizo?
Anafikiri USA ni pale Chattle[emoji23] [emoji23] [emoji23] anachekesha kweli jamaa
Hapa sijaona hoja, acha iliyojengeka, hoja tu. Hamna. Hapa jf si kule insta mnakochambana na dada zenu bana.
Una elimu gan kijana???We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
http://allafrica.com/stories/201410151211.htmlNaona unafanya revision upya. Asee si hii comment yangu uliiquote tena tulipoanza mjadala huu jombaa? Au ulikuwa upo free gear? Ungenisihi tu hapo mwanzo niende na pace yako jombaa.Wawekezaji wa kikenya hawajaihama Kenya wakaja tz kama ilivo kati ya U.S, Mexico na Uchina. Wakenya wanaongeza region ya soko lao. wapo kotekote. Kenya na nchi za E.A si nchi kubwa kama nilizotaja hapo juu na pia population zao ni ndogo ndogo. Next question please! 😀
teh teh teh teh teh tihiiiWe have been debating that since mid morning. I dont see any point you have brought in here about the topic. Just bitching. Man, get lost.
Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own lineJiwe linalowaka moto uko wapi. Dah! Kwani kasepa? Mara ya kwanza kuona jamaa kasepa kutoka kwa mjadala. Basi team Kenya imeshinda huu mjadala.
Tanzania: Dar Economy On Right Track, Inflation Moderate - IMF ReportAnafikiri USA ni pale Chattle
Although GDP data point to continued strong growth, other high frequency data suggest a weakening of economic activity. Tax revenue collections are lower than expected and credit growth has stagnated reflecting in part banks' rising non-performing loans (NPLs).Tanzania: Dar Economy On Right Track, Inflation Moderate - IMF Report
Wakati IMF inawakoromea kwamba nchi yenu imezidiwa na mzigo wa madeni hivyo kukaribia kufilisika, kwa majirani zenu IMF inasema uchumi upo vizuri sana, karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Weka ushahidi jombaa, inawezekana kukawa na mapungufu madogo madogo, ila kwa ujumla mambo yapo vizuri sanaAlthough GDP data point to continued strong growth, other high frequency data suggest a weakening of economic activity. Tax revenue collections are lower than expected and credit growth has stagnated reflecting in part banks' rising non-performing loans (NPLs).
Kusema ukweli, Rwanda ni nchi huru na wanahaki ya kubadilisha akili yao kuhusu mambo kama haya. Wakiamua kujiunga na Sgr ya Tanzania, pia ni sawa. Tunawaombea Wanyarwanda kila la kheri. Tanzania mumejaribu sana kutuny'ang'anya miradi yetu lakini haina shida. Bado tunazidi kupepea na Sgr yetu lazima ikamilike. Kumbuka miradi nyingi ya T.Z bado haijaanza au ndio tu imeanza kwa hivyo don't count your chicks before they hatch. Kenya itazidi kutamba ukanda huu na hatuendi kokote.Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own line
Ninaomba maelezo kwa jirani zetu, mimi ninachanganyikiwa, hawa wanyarwanda wananichanganya, walisema watajenga reli yao kuunganisha na Uganda na Kenya, leo Kagame yupo Bongo kuomba aunganishe na the faster, electrical, full automatic, high capacity bullet train, nchi gani itashinda katika kuishawishi Rwanda?[emoji23] [emoji23] [emoji23]