Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Kenya's GDP debt ratio hit 60%

kaka don't take on yourself and try to derail the topic. the issue at hand is the Kenya debt to GDP ratio hits 60%.
teh teh teh tihiii
We have been debating that since mid morning. I dont see any point you have brought in here about the topic. Just bitching. Man, get lost.
 
Albinos r done what in kenya?
d07374d07009b75ac5d39310d029a5e2.jpg
They must have confused Kenya with Tanzania. You know how tz is non-existant in the international sphere? 😀 Ok I agree, no albinos have ever been killed in Tanzania. You guys are great! You can now stop googling albino and Kenya.
 
Argument kama hizi ndio zinanifanya niendelee kuipenda jamii forum
 
Jiwe linalowaka moto uko wapi. Dah! Kwani kasepa? Mara ya kwanza kuona jamaa kasepa kutoka kwa mjadala. Basi team Kenya imeshinda huu mjadala.
 
Jamaa ameona ni kundialala akaenda kuchapa zake za kawa, kabooster hivi, akirudi jombaa, hatoki humu hadi jumatano wiki ijayo! Hehe! 😀
 
We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
Mwendawazimu ndiye anayezungumza lolote linalomjia, Kenya unemployment ni 48%, eti unashabikia investors wenu kuja kuwekeza Tanzania ili kutengeneza ajira kwa watanzania, Marekani wanapambana kila siku kuhakikisha makampuni yao hayaendi kuwekeza China badala yake yanafungua viwanda vingi ndani ya US ili kutengeneza ajira, wewe unafikiria opposite direction, akili gani hizo?
 
Naona unafanya revision upya. Asee si hii comment yangu uliiquote tena tulipoanza mjadala huu jombaa? Au ulikuwa upo free gear? Ungenisihi tu hapo mwanzo niende na pace yako jombaa.Wawekezaji wa kikenya hawajaihama Kenya wakaja tz kama ilivo kati ya U.S, Mexico na Uchina. Wakenya wanaongeza region ya soko lao. wapo kotekote. Kenya na nchi za E.A si nchi kubwa kama nilizotaja hapo juu na pia population zao ni ndogo ndogo. Next question please! 😀
 
We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
Una elimu gan kijana???
 
Naona unafanya revision upya. Asee si hii comment yangu uliiquote tena tulipoanza mjadala huu jombaa? Au ulikuwa upo free gear? Ungenisihi tu hapo mwanzo niende na pace yako jombaa.Wawekezaji wa kikenya hawajaihama Kenya wakaja tz kama ilivo kati ya U.S, Mexico na Uchina. Wakenya wanaongeza region ya soko lao. wapo kotekote. Kenya na nchi za E.A si nchi kubwa kama nilizotaja hapo juu na pia population zao ni ndogo ndogo. Next question please! 😀
http://allafrica.com/stories/201410151211.html
Jionee jinsi makampuni yenu yanavyofunga biashara na kuhamia Bongo.

Nilikuambia kwamba huwezi kusema bila kutoa ushahidi, kama unataka kusema bila ushahidi, tanguliza neno"Baba yangu mzazi"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We have been debating that since mid morning. I dont see any point you have brought in here about the topic. Just bitching. Man, get lost.
teh teh teh teh teh tihiii
since morning ok fine, but for you since I came to know you. you are known to be a comic guy. so no one is taking you serious.
 
Jiwe linalowaka moto uko wapi. Dah! Kwani kasepa? Mara ya kwanza kuona jamaa kasepa kutoka kwa mjadala. Basi team Kenya imeshinda huu mjadala.
Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own line
Ninaomba maelezo kwa jirani zetu, mimi ninachanganyikiwa, hawa wanyarwanda wananichanganya, walisema watajenga reli yao kuunganisha na Uganda na Kenya, leo Kagame yupo Bongo kuomba aunganishe na the faster, electrical, full automatic, high capacity bullet train, nchi gani itashinda katika kuishawishi Rwanda?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tanzania: Dar Economy On Right Track, Inflation Moderate - IMF Report
Wakati IMF inawakoromea kwamba nchi yenu imezidiwa na mzigo wa madeni hivyo kukaribia kufilisika, kwa majirani zenu IMF inasema uchumi upo vizuri sana, karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Although GDP data point to continued strong growth, other high frequency data suggest a weakening of economic activity. Tax revenue collections are lower than expected and credit growth has stagnated reflecting in part banks' rising non-performing loans (NPLs).
 
Weka ushahidi jombaa, inawezekana kukawa na mapungufu madogo madogo, ila kwa ujumla mambo yapo vizuri sana
 
Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own line
Ninaomba maelezo kwa jirani zetu, mimi ninachanganyikiwa, hawa wanyarwanda wananichanganya, walisema watajenga reli yao kuunganisha na Uganda na Kenya, leo Kagame yupo Bongo kuomba aunganishe na the faster, electrical, full automatic, high capacity bullet train, nchi gani itashinda katika kuishawishi Rwanda?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kusema ukweli, Rwanda ni nchi huru na wanahaki ya kubadilisha akili yao kuhusu mambo kama haya. Wakiamua kujiunga na Sgr ya Tanzania, pia ni sawa. Tunawaombea Wanyarwanda kila la kheri. Tanzania mumejaribu sana kutuny'ang'anya miradi yetu lakini haina shida. Bado tunazidi kupepea na Sgr yetu lazima ikamilike. Kumbuka miradi nyingi ya T.Z bado haijaanza au ndio tu imeanza kwa hivyo don't count your chicks before they hatch. Kenya itazidi kutamba ukanda huu na hatuendi kokote.
 
Back
Top Bottom