Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Walikuja hapa na mada wakiwa wamejijaza Pumzi kama mpira. Nikautoa huo mpira pumzi wakaanza kunijadili mimi, kabila langu,masomo nkt. Hawana lolote la kuchangia ila ukabilaHii thread mbona mmehamia kwa mkikuyu akili timamu ?mmeacha discuss idea mnafeli