josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Uko entitled to your opinion mkuu.
Lakini sehemu iendeshwayo ki nidhamu, kuna daraja za uwajibikaji. Wahusika wamefikia uamuzi kua mkuu wa Intelligensia kachemsha hivyo kalazimishwa kubwaga manyanga.
Hivi ndivyo idara, wizara na hata nchi inavyoendeshwa mzee. Ingekuwa Bongo sidhani kama angwajibishwa mtu, pengine angepewa promosheni....
Angalia RPC wa Iringa alivyopeta japokuwa ushahidi wa wazi na picha ukimuonyesha akiwa usoni na Mwangosi...
Wenzetu japokuwa wamechemsha kwa Westgate, ni lazima kurudia mkanda kuona kosa limetokea wapi na nani kachemsha awajibishwe. Usishangae na wengine pia wakaenda.
Kama ulivyosema, ingekuwa Tanzania hakuna hata kiongozi mmoja angehojiwa. Isipokuwa tume ingeundwa kupisha upepo kisha mambo yanaendelea kama kawaida. Dhana ya Uwajibikaji Tanzania haipo.