unamaanisha nini ukisema leta current data? hayo ndo majumba ambayo yalishamalizwa na kufunguliwa, tukianza kuleta za proposed na under cinstruction itachukua siku nzima maana ni mengi sana ambayo yako 150m and aboveLeta current data acha kuleta data za zama za kale za mawe
Af kiukwel nairobi majengo mengi ya kizamani sana.af kitu kingine wakinya hasa majengo binafsi ya watu hawamalizii finishing.yaan jengo kubwa tuu na watu wanaishi lakin hata plasta halina.na yamejaa mengi sana mjin nairobi
we ata una shida sana....hayo majengo manne yaliyojengwa dar juzi ndo yashashinda nai,,alafu kumbe ata umechukua riverroad peke yake kumake comparison na dar yote.if that is the case chukua upper hill ufananishe na dar tuone mwenye majengo yakuchoka nnaniUnabisha nini.nimekaa athi river mlolongo na kitengela.na mjini mitaa yenu kama river road majengo yamechoka ya kizamani.na hata majengo ya serikali mjin ya kizaman na ni ukweli huo kwa majengo dar wapo juu kuliko nyie.nyie mnazid dar kwene upana wa barabara na flyovers .huo ndio ukweli
Unabisha nini.nimekaa athi river mlolongo na kitengela.na mjini mitaa yenu kama river road majengo yamechoka ya kizamani.na hata majengo ya serikali mjin ya kizaman na ni ukweli huo kwa majengo dar wapo juu kuliko nyie.nyie mnazid dar kwene upana wa barabara na flyovers .huo ndio ukweli
hiyo tpa ishafunikwa na britam,,na britam yetu itafunikwa na hass tower a yenye itafika 330 m and mind you construction ishaanza..sasa mnacompare nni.wekeni yenye mtafika 200 m first then we can talk.ryt now you are still losersNa hawa wengine are among the upcoming giants in the region (as u may be aware)
View attachment 413955
And this one with infinity height..
View attachment 413957
Lina muonekano mbaya sana hilo jengo la kenya, duh!
TPA tower..mwanzo hilo jengo la TPA walindanganya toto.... what kind of color is that, cheap shinny colors , how much did those towers cost,
Don't wory dude, we just converted into USD.Na tena hamjui shilingi ya Kenya iko juu ukanda huu wa Africa mashariki, our 4billion is your Tz trillions lol! Hata hesabu kuwashinda nyie!
Britam will be 200m tall and is advanced as they come. Britam breaks ground for 30-storey wind powered office towerTPA tower..
View attachment 414288
Cost of construction 130bn tzs, ($60mn)
UAP tower
Cost of construction 4bn Ksh ($39mn)
Means that pathetic old church uap is Kubwa Jinga.
TPA tower..
View attachment 414288
Cost of construction 130bn tzs, ($60mn)
UAP tower
Cost of construction 4bn Ksh ($39mn)
Means that pathetic old church uap is Kubwa Jinga.
Hahahaha, actually that's an excuse.You were overcharged. They danganyad Wadanganyika