Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
unamaanisha nini ukisema leta current data? hayo ndo majumba ambayo yalishamalizwa na kufunguliwa, tukianza kuleta za proposed na under cinstruction itachukua siku nzima maana ni mengi sana ambayo yako 150m and aboveLeta current data acha kuleta data za zama za kale za mawe
hapo hata yale ya 2016 yaliyo malizwa yako kwa list. angalia hio highlighted