View attachment 419074nikisema dar ina majengo mengi namaanisha kama hapo.okey tafuta nairobi kama hapo uone kama utapata zaidi ya vipara vingi mjini.saiv dar ni kama sao paulo kwa density ya majengo yake. Sema saupaulo ni marefu sana[emoji2] [emoji2]
Easleigh ya waSomali AKA little mogadishu ndio mtaa mkubwa East and central africa wacha pumbaUnajisahaulisha kua kariakoo ndio mtaa mkubwa wa kibiashara Africa mashariki na kati ? Uku kwetu ndio kanda maalumu yakikodi maana tra wanavuna pesa nyingi sana pale kariakoo pekee na hapo hatujazungumzia sehemu zingne s daresalam. ....ukitaka kuiponda dar tafuta sehemu zingne tuachie kariakoo yetu sisi ndio tunaoelewa umuhimu wake kwa mapato ya serikali. .......ni ngumu kuja kua na ward kama kariakoo Kenya. .....hiyo imewezekana tu daresalam. ....nasema hivi msituchukulie poa
Somalia ipo east africa tangu lini Au unawaza has sauti ??Easleigh ya waSomali AKA little mogadishu ndio mtaa mkubwa East and central africa wacha pumba
Hata hauja elewa nilicho sema soma tenaSomalia ipo east africa tangu lini Au unawaza has sauti ??
Hahaaa....Povu tupu.
Wapi umetaja Nairobi anyway nikwavile sijawah fika uko. ....sasa kama na hili bado unabisha ww unakua mgonjwa tu sio vingnevyoEasleigh ya waSomali AKA little mogadishu ndio mtaa mkubwa East and central africa wacha pumba
Somalia ipo east africa tangu lini Au unawaza has sauti ??
Sawa watever makes you have a good lunch!!Wapi umetaja Nairobi anyway nikwavile sijawah fika uko. ....sasa kama na hili bado unabisha ww unakua mgonjwa tu sio vingnevyo
Sikuwa nimeona now nishafaham .....alafu unaanza kutukana wakati ujatoa point sasa nani mjinga apahehehe this is a new level of stupid. you haven't understood anything yet you respond. i'm done!! hhehehe
Sikuwa nimeona now nishafaham .....alafu unaanza kutukana wakati ujatoa point sasa nani mjinga apa
Stupid for the while sawa Ila wewe ni mpumbavu .. .kasome tofauti ya mjinga na mpumbavu ndio utaona wewe unahali ganihehhehe dude stupid remains stupid. sorry for pointing it out. I really am sorry.
kwelko u hit a reality Nerve aka catch feelings [emoji23][emoji23]Stupid for the while sawa Ila wewe ni ******** .. .kasome tofauti ya mjinga na ******** ndio utaona wewe unahali gani