lelooo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 422
- 364
Nauhakika walisikia tanzania wana majengo yanajengwa yatazidi ilo. mmmh wakaona hapana tuweke fimbo ili letu liwe refu.[emoji2] [emoji2]Bwahahahaha, wamefunga mnara wa safaricom juu ya jengo, just to make it higher.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
af mi nilikuwa naisikiaga nairobi ila bahati nzuri nilienda july nikakaa had this october na cbd yao nimeizunguka sana tuu.nimegundua hawa watu wanajisifu vitu bure tuu majengo yakizamani mengi,nenda upaone.