Kenya's military might

Wewe acha ushabiki Kuna Algeria morroco nigeria na ethiopia achana na hizo nchi kwa maswala ya kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha ushabiki Kuna Algeria morroco nigeria na ethiopia achana na hizo nchi kwa maswala ya kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti Nigeria, Poor you.!!

Kwa taarifa yako, jeshi la Nigeria limekua bovu kuliko maelezo. Lina rushwa, mamluki, udini, ukabila. Kiufupi wamekua dhaifu sana. Hata mbele ya al- Wilāya al-Islāmiyya Gharb Afrīqiyyah.

Hawa hawawezi mziki wetu. Itabakia dhana tu kua wananguvu za kufikirika lakini hawawezi pambana na JWTZ.

Kule Afrika Magharibi, Libya ya Ghadafi ndio ilikua na nguvu.
Lakini walishaleta kikosi chao hapa bongo kumsaidi Nduli, wakachezea kichapo cha mbwa mwizi. Manake na wao walikua wana tu undermine uwezo wetu. Tuliwa-suprize sana tu.!!

Morocco na Algeria. I can assure you, hapa hakuna Jeshi..hawa waarabu hawana jipya. Mtu mweusi ni Balaa.

Jeshi la Tizedi lina mafunzo makali sana. Hawa waarabu hawawezi mziki wetu. Wako nyoronyoro sana kama wanawake.

Sisi Tanzania hatuko nje ya na 5 lakini kuna kila possibility sisi ndio namba moja Afrika.

Tuna jeshi lenye umoja, halijawahi kuingiliwa na siasa ndani wala blah blah zingine!!

Lenye nidhamu ya hali ya juu,ambayo hakuna jeshi AFRIKA wanayo
Mazoezi magumu utadhani ni SEAL wa USA.

Jeshi letu lina SIRI SANA katika uwezo wake WA juu. Hua hazivuji kama hayo mataifa mengine.

Nenda huko Morroco na Algeria utakuta mafunzo ni ya kuendesha kifaru na ndege. Lakini physicality wako kama wanawake.

Jeshi letu halijawahi kupoteza integrity yake kwa kila mkuu wa majeshi anayeingia nchini hadi huyu wa sasa Generally Mabeyo.

Hao wakenya, wanaukabila hadi ndani ya jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unawasifia police kule kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukate mzizi wa fitina. Nyie kenya leteni vifaa vyenu tuvione. Na sisi tutawaletea vy kwetu.
Naanza kuwaletea kwa picha.
Jeshi la kenya ni cha mtoto hawana lolote.
Kwanza Kenya hawana pesa, ni makelele tu ya kwenye karatasi.
 
Tuache utani. Nataka wakenya mlete askari akiwa na bunduki kama hizi:-






 

Acha uongo wa wazi wazi Mkuu.
 
we annel na hao wakenya hamuivi aseee... angalia usije waonyesha siri za taifa..hahaha
Mimi naweka vitu ambavyo tayari viko kwenye public tayari. Na hiyo nayo ni siraha kama jirani anamilk gobore, mwoneshe AK47 yako. Atatulia kupiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…