Kenya's military might

TRUTHS..wewe una kichaa.kama huo mgambo wenu ni best in e.africa mbona basi hamujaupeleka kule somalia BTW tz muna navy??..pwahahaha..nikuuliza tu

Al Shabab wangegusa tu Tanzania wangeona cha mtema kuni...bcoz tungefanya Somalia our country, na kuwafuta duniani what is called Al-Shabab, ask M23 where are they? Dead.. TZ hatari sana ikiguswa.. M23 walifutwa dunia hadi South Afrika army walikuwa Congo pia kupigana na M23 walishangaa na kuelezea jinsi JWTZ walivyo hatari duniani.. Tena walitumwa vijana wachache mno kama 39 tu from Jeshi letu..
 
Hapo ulipoanzia umeanza kimakosa tayari.
Israel haijawahi kutoka Draw na muarabu katika vita yoyote ile.
Waarabu walikua wanashindwa mara zote.

Mataifa ya kiarabu yakiongozwa na Egypt dhidi ya Israel .
Israel iliushangaza ulimwengu kwa kugawa kichapo kikali sana kwa waarabu hata kuteka jangwa la sinai na maeneo mengi.

Kwa jinsi idadi ya ndege na jeshi ambalo waarabu walikua nalo wakifadhiliwa na Soviet, hii iliwafanya waisrael wafanishwe na Pambano kati ya Daudi na Goliath.

Israel ilielekea kuichukua Cairo na maeneo mengine. Soviet ilipata Hasara ya maeneo na mikopo ya zana za kijeshi walizowakopa waarabu.

Hivyo ilitangazia Israel isimamishe Vita lasivyo wangeingia na wao kupigana dhidi yao.


USA kusikia hivyo ndio akaingiza uso ili kuipatanisha Israel na Egypt. Kwa makubaliano ambayo Egypt itabaki kua na uhusiano na USA badala ya
Urusi.

Kwahiyo kilichokwamisha Israeli Isiichukue Egypt ni Urusi USA.

Na kwa ufupi Israel haikua inasaidiwa kijeshi na USA.
Israel ilikua inapambana peke yao.
Ni mwanzo wa USA kuiamini Israel kama taifa lenye nguvu.

Ambayo katika vita hii waisraeli walizamisha manuari ya kijeshi ya USA.

Na tangu wakati huo Jeshi laEgypt linafadhiliwa na USA. Na Egypt ndio waarabu wasomi zaidi katika Dunia ikilinganisha na aina yoyote ya waarabu ulimwenguni.
Na ndio maana ni ngumu kutengeneza vikundi vya fundamentalists katika Egypt. Hata wale muslim brotheehood unaeza ona jinsi walivyosambaratishwa mpaka raisi mteule.

Unasema Anwar Sadat ni ngozi Nyeusi????

*Ngumu kumeza*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ya jeshi letu ni nidhamu ya hali ya juu na experience ya vita vya ukombozi na Congo.Suala kuwa Alshabab wanaogopa au wanafyta mkia kuja huku sababu ni rahisi tu wanaiheshimu sana Tanzania kutokana na baba wa taifa ameshawahi saidia Somalia msaada wa mahindi kipindi cha njaa.Lingine limekaa kidini zaidi.Wanaamini Tanzania kuna waislamu wengi sana hivo wanaogopa kuja kushambulia ndugu zao
 
Wewe acha ushabiki Kuna Algeria morroco nigeria na ethiopia achana na hizo nchi kwa maswala ya kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mtofautishe kitu kimoja 1.Ustadi na umahiri wa askari na 2.Wingi wa vifaa vya kijeshi .Nchi inaweza ikawa na maguvu mengi kijeshi sababu tu wana vifaa vingi sababu ya utajiri wao lakini hapo hapo wakawa na askari legelege.Natoa mfano mdogo vita vya Marekani na Vietnam mwaka 1972.Vietnam ni nchi ndogo sana na maskini lakini waliwachapa wamarekani kipigo cha mbwa mwizi wamarekani uoga wa kupoteza askari wao wakawatoa.Kwanini? kwa sababu wamarekani na maguvu yao mengi lakini hawana ujuzi na gorila war yaani vita vya msituni na ndio maana wanakimbilia vita vya anga kwanza ndege ziko juu hata mabomu yenu hayafiki wanadhoofisha kwanza ndio sasa wanamaliza ardhini.
 
hehe Watanzania nawapa mkono kwa kua na uwezo wakujitungia story za kiajabu....

Ngoja ni kupe facts kidogo..

Nchi ya kwanza kuwapa mafunzo wanajeshi wa somalia ili wapigane na wanamgambo wa alshabaab ilikua Kenya..... Nchi ya pili kutoka Africa kuwapa mafunzo Somalia National Army ilikua Uganda.. Uganda ndo walianza kutuma Wanajeshi wao Mogadishu kupigana na Alshabaab alafu nchi zengine Kama Siera leone, Burundi, Dgibouti zikatuma vikosi kwenda kusaidia.......

Alafu ikafika wakati ikawa bado Tanzania isaidie pia.... Tanzania kupitia JK alikubali kufundisha 1,000 wanajeshi wa somalia between 2007-2014, lakini pindi Tanzania walipo tangaza hivyo, Alshabaab walitoa onyo kali sana, wakasema vita vyao ni kati ya nchi zilizotuma wanajeshi Somalia na kama Tanzania inajipenda basi wasiingilie kwani alshabaab wako na wanamgambo wengi kutoka Tz na wanaeza kuchafua mambo... Tangu hio siku Tanzania haijawahi kuongelea hadharani didhi ya Alshabaab!!!!!
 
Leta proof ya hayo unayoyasema.
Kama sivyo zitakuwa stori zako za vijiweni.
 
Wewe huwezi nifunza historia. Nenda kasome Yom Kippur war. Kuna vitabu vingi sana kuihusu. Hata documentaries vipo nenda hata youtube. Sitabishana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…