Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nimekupatia reference usome.duh! makubwa haya...huyo ni rais ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupatia reference usome.duh! makubwa haya...huyo ni rais ama?
sawaNimekupatia reference usome.
Yes hatujakataa but AK 47 model mpya sio za 1946AK 47, Inatumika mpaka leo duniani na zinanunuliwa hadi na waamerica.
Em acha ushamba.
Hujui hata uwezo wak kivita.
Em kaisome kwanza ndio uje kubishana hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
TRUTHS..wewe una kichaa.kama huo mgambo wenu ni best in e.africa mbona basi hamujaupeleka kule somalia BTW tz muna navy??..pwahahaha..nikuuliza tu
Hapo ulipoanzia umeanza kimakosa tayari.Hahaha ata sijui nianzie wapi. Waarabu wape heshima yao. Egypt ni wazimu kama bullshit. Nenda wikipedia type " Yom Kippur war". Kwa kifupi hii yom Kippur war ilipiganwa baina ya Israel na Egypt mwaka wa 1973. Egypt ilikuwa inalipiza kisasi baada ya Israel kuishinda katika 6 day war in 1967. Israel ilikuwa inapewa silaha na mafunzo na Wamarekani huku Egypt ikisaidiwa na Russia. Kwa kifupi ngoma ilitoka draw. Hata Israel hawakuamini
wakamlazimisha prime minister Golda Meir Kujiuzulu kwa aibu waliyopata. President wa Egypt aliyecheza ngoma hiyo ni shujaa ngozi nyeusi aliyeitwa Anwar Sadat na Alishinda Nobel peace prize kwa kutia mkataba wa amani na Israel. Israel walitandikwa hadi wakakubali kutia mkataba wa amani na kuregesha ardhi ya misri inayoitwa Sinai peninsular waliyokuwa wamenyakua. Misri ni nyoko apana leta machezo
Ni sawa AK-47 zimekua zikiboreshwa. Ni sawa. Model za 1946 hazitakuwapo kwenye majeshi yetu. Ni miaka mingi sana imepita hata kiwanda cha kuzitengeneza kitakua kimeshafungwa. Ama kua replaced na vingine.
Siri ya jeshi letu ni nidhamu ya hali ya juu na experience ya vita vya ukombozi na Congo.Suala kuwa Alshabab wanaogopa au wanafyta mkia kuja huku sababu ni rahisi tu wanaiheshimu sana Tanzania kutokana na baba wa taifa ameshawahi saidia Somalia msaada wa mahindi kipindi cha njaa.Lingine limekaa kidini zaidi.Wanaamini Tanzania kuna waislamu wengi sana hivo wanaogopa kuja kushambulia ndugu zaoLabda ungeuliza kama limewahi kupigana na ashshabaab?
Manake hao ndio excuse yenu.
Whay Kenyans have done so far apart from alshabaab?
Lakini JWTZ lina rekodi ya kutoa kichapo cha mbwa mwizi afrika nzima.
We are so organized.
Hao roaches tuna wachapa in a matter of seconds.
Ndio maana hawajamudu kuchomeka pua hapa tized.
Tena kwa utawala huu wenye discipline jeshini kama ule wa nyerere ndio balaa kabisa.
.
Hapa tized kama ni makundi ya kigaidi ni mengi kuliko Huko kenya. Kwasababu tofauti ndogo ya kiimani.
But jeshi letu liko vizuri.
Walishaleta fyoko kule kibiti, kisarawe.. Sasa hivi wamekula mute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mtofautishe kitu kimoja 1.Ustadi na umahiri wa askari na 2.Wingi wa vifaa vya kijeshi .Nchi inaweza ikawa na maguvu mengi kijeshi sababu tu wana vifaa vingi sababu ya utajiri wao lakini hapo hapo wakawa na askari legelege.Natoa mfano mdogo vita vya Marekani na Vietnam mwaka 1972.Vietnam ni nchi ndogo sana na maskini lakini waliwachapa wamarekani kipigo cha mbwa mwizi wamarekani uoga wa kupoteza askari wao wakawatoa.Kwanini? kwa sababu wamarekani na maguvu yao mengi lakini hawana ujuzi na gorila war yaani vita vya msituni na ndio maana wanakimbilia vita vya anga kwanza ndege ziko juu hata mabomu yenu hayafiki wanadhoofisha kwanza ndio sasa wanamaliza ardhini.Wewe acha ushabiki Kuna Algeria morroco nigeria na ethiopia achana na hizo nchi kwa maswala ya kijeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
hehe Watanzania nawapa mkono kwa kua na uwezo wakujitungia story za kiajabu....Siri ya jeshi letu ni nidhamu ya hali ya juu na experience ya vita vya ukombozi na Congo.Suala kuwa Alshabab wanaogopa au wanafyta mkia kuja huku sababu ni rahisi tu wanaiheshimu sana Tanzania kutokana na baba wa taifa ameshawahi saidia Somalia msaada wa mahindi kipindi cha njaa.Lingine limekaa kidini zaidi.Wanaamini Tanzania kuna waislamu wengi sana hivo wanaogopa kuja kushambulia ndugu zao
Hio mashini haipo T.Z ebu angalia background.Hahahaha!!
BM-27 Uragan
![]()
Leta proof ya hayo unayoyasema.hehe Watanzania nawapa mkono kwa kua na uwezo wakujitungia story za kiajabu....
Ngoja ni kupe facts kidogo..
Nchi ya kwanza kuwapa mafunzo wanajeshi wa somalia ili wapigane na wanamgambo wa alshabaab ilikua Kenya..... Nchi ya pili kutoka Africa kuwapa mafunzo Somalia National Army ilikua Uganda.. Uganda ndo walianza kutuma Wanajeshi wao Mogadishu kupigana na Alshabaab alafu nchi zengine Kama Siera leone, Burundi, Dgibouti zikatuma vikosi kwenda kusaidia.......
Alafu ikafika wakati ikawa bado Tanzania isaidie pia.... Tanzania kupitia JK alikubali kufundisha 1,000 wanajeshi wa somalia between 2007-2014, lakini pindi Tanzania walipo tangaza hivyo, Alshabaab walitoa onyo kali sana, wakasema vita vyao ni kati ya nchi zilizotuma wanajeshi Somalia na kama Tanzania inajipenda basi wasiingilie kwani alshabaab wako na wanamgambo wengi kutoka Tz na wanaeza kuchafua mambo... Tangu hio siku Tanzania haijawahi kuongelea hadharani didhi ya Alshabaab!!!!!
Unauhakika?Hio mashini haipo T.Z ebu angalia background.
Wewe huwezi nifunza historia. Nenda kasome Yom Kippur war. Kuna vitabu vingi sana kuihusu. Hata documentaries vipo nenda hata youtube. Sitabishana na weweHapo ulipoanzia umeanza kimakosa tayari.
Israel haijawahi kutoka Draw na muarabu katika vita yoyote ile.
Waarabu walikua wanashindwa mara zote.
Mataifa ya kiarabu yakiongozwa na Egypt dhidi ya Israel .
Israel iliushangaza ulimwengu kwa kugawa kichapo kikali sana kwa waarabu hata kuteka jangwa la sinai na maeneo mengi.
Kwa jinsi idadi ya ndege na jeshi ambalo waarabu walikua nalo wakifadhiliwa na Soviet, hii iliwafanya waisrael wafanishwe na Pambano kati ya Daudi na Goliath.
Israel ilielekea kuichukua Cairo na maeneo mengine. Soviet ilipata Hasara ya maeneo na mikopo ya zana za kijeshi walizowakopa waarabu.
Hivyo ilitangazia Israel isimamishe Vita lasivyo wangeingia na wao kupigana dhidi yao.
USA kusikia hivyo ndio akaingiza uso ili kuipatanisha Israel na Egypt. Kwa makubaliano ambayo Egypt itabaki kua na uhusiano na USA badala ya
Urusi.
Kwahiyo kilichokwamisha Israeli Isiichukue Egypt ni Urusi USA.
Na kwa ufupi Israel haikua inasaidiwa kijeshi na USA.
Israel ilikua inapambana peke yao.
Ni mwanzo wa USA kuiamini Israel kama taifa lenye nguvu.
Ambayo katika vita hii waisraeli walizamisha manuari ya kijeshi ya USA.
Na tangu wakati huo Jeshi laEgypt linafadhiliwa na USA. Na Egypt ndio waarabu wasomi zaidi katika Dunia ikilinganisha na aina yoyote ya waarabu ulimwenguni.
Na ndio maana ni ngumu kutengeneza vikundi vya fundamentalists katika Egypt. Hata wale muslim brotheehood unaeza ona jinsi walivyosambaratishwa mpaka raisi mteule.
Unasema Anwar Sadat ni ngozi Nyeusi????
*Ngumu kumeza*
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio mashini haipo T.Z ebu angalia background.