Kenya's military might

Kenya's military might

mightiest in east africa..kudos
Thubutuuuu.

Hao mgambo wa alshabaabu tu wanawatoa Kamasi kule somali land

Tanzania ndio the Most powerful afrika mashariki na Kati yote

Na kwa bara la afrika nzima.

JWTZ Hatutoki nje ya 3 bora,
kama sio Namba Moja kabisa.

Labda Egypt na South Afrika.
Manake bajeti ya jeshi la Egypt linafadhiliwa na USA. Hawa watakua powerful kwasababu ya mgongo wa mwamerika.

South Afrika hawa wako vizuri kiuchumi tangu siku nyingi.
Namibia wanatengeneza ndege zao wenyewe, lakini bado hawazidi mziki wetu.

Nigeria wale washakua vimeo toka long time. Jeshi lao halina nidhamu. Lina mapungufu mengi.

Afrika imeisha yote. Kwishney..!!

Tumebaki sisi ambao ni strong and solid.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRUTHS 1)kati ya kdf na jwtz na wanakaa wanamgambo.2)jeshi lenu limewai kupigana vita na terrorists na usiniambie wale wanamgambo wa congo
Labda ungeuliza kama limewahi kupigana na ashshabaab?
Manake hao ndio excuse yenu.

Whay Kenyans have done so far apart from alshabaab?

Lakini JWTZ lina rekodi ya kutoa kichapo cha mbwa mwizi afrika nzima.
We are so organized.

Hao roaches tuna wachapa in a matter of seconds.
Ndio maana hawajamudu kuchomeka pua hapa tized.
Tena kwa utawala huu wenye discipline jeshini kama ule wa nyerere ndio balaa kabisa.
.
Hapa tized kama ni makundi ya kigaidi ni mengi kuliko Huko kenya. Kwasababu tofauti ndogo ya kiimani.

But jeshi letu liko vizuri.
Walishaleta fyoko kule kibiti, kisarawe.. Sasa hivi wamekula mute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungeuliza kama limewahi kupigana na ashshabaab?
Manake hao ndio excuse yenu.

Whay Kenyans have done so far apart from alshabaab?

Lakini JWTZ lina rekodi ya kutoa kichapo cha mbwa mwizi afrika nzima.
We are so organized.

Hao roaches tuna wachapa in a matter of seconds.
Ndio maana hawajamudu kuchomeka pua hapa tized.
Tena kwa utawala huu wenye discipline jeshini kama ule wa nyerere ndio balaa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
So mko juu than wamarekani juu hao pia walishindwa somalia
 
So mko juu than wamarekani juu hao pia walishindwa somalia
Waamerika hawakushindwa nchini Somalia.

Their mission were completed accordingly.

The thing ni kua waliondoa Wale "Seal" mapema zaidi ilio wa train kwa gharama kubwa wasije wakapoteza nguvu kazi muhimu.

Manake kule somali hawakupeleka wanajeshi wa kawaida isipokua kikosi cha SEAL

Bad newz sasa hivi ni kuona Hawa KDF wanasaidiwa na USA lakini hawawezi kujiongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati the best in what...hahah domodomo kama kawaida
Ni kweli wakenya kuna vitu mmetuzidi, kama demokrasia, ukabila.

Lakini kwenye Jeshi hapana.

Sisi tupo juu zaidi. Sisi sio wa hapa hapa sisi ni kwa Afrika nzima.[emoji123]

Sisi tungekua juu yenu kiuchumi kama sio serikali yetu kutumia bajeti kubwa kwenye jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRUTHS..wewe una kichaa.kama huo mgambo wenu ni best in e.africa mbona basi hamujaupeleka kule somalia BTW tz muna navy??..pwahahaha..nikuuliza tu
 
Nimeuliza [HASHTAG]#truths[/HASHTAG] tz mna navy au ni hiyo mitumbwi 9 ndio mnaita navy alafu airforce ata tusizungumzie alafu unaniambia eti best in east and the whole africa.TPDF KALINGANISHE NA RWANDA/BURUNDI
 
Acha kuchekesha kadamnasi bana Kenya hamna tofauti na Nigeria wote ni mfu tu.

Mlikua mnatuambia kibiti inatushinda, je mliwasikia tena? Na lilikua ni police force tu sio hata jeshi. Watu tumewauwa kama kunguni.

Achana na Tanzania bana hii ni number nyingine
 
Watanzania kwa kujipigia debe hamjambo....mko na promo mbaya ila nadhani mnaeza danganya mabunga.tz hakuna jeshi.cha muhimu ni kulipua fukwe za bahari na kupiga wakora wa m23 ambao wangepigwa na gsu...tpdf haiingii hata kwa gsu.wabongo chooni mrushe mawe sasa nmevaa helmet
 
Back
Top Bottom