Kenya's military might

Kenya's military might

kwani ww kipofu?? pale somalia na sudan kusini wanalisha ng'ombe au? nyi mna uzoefu upi?? nchi imetulia sana...hakuna threat from within or without...tanzania has never gone to war...my friends, huwa mnapenda majivuno ila hamna chochote...nenda Google just search most powerful african militaries...kisha uje uniambie...hata nashuku hizo missile launchers hamjui kutumia...
Alshaabab haipagani na KDF, wao wanapigana na jeshi la Somalia.
 
Kulinganisha TPDF na KDF ni sawa na kulinganisha TPDF na mgambo Wa Tz, haviez lingana hivi vitu..
tena nafikir tukipeleka mgambo wetu Somalia hiyo vita itaisha ndani ya siku 2/3
Hivyo mgambo wetu ni bora Mara 10 kuliko KDF
 
Vita ya kupiganwa huku mnachukuana movie kama za Anord na Rambo. Hahahahaha!!!
movie sio?? ww unafikiri alshabaab wako kule wanacheza kati...hawa jamaa wanachinja watu vichwa kila siku....lakini wakisikia KDF imetua Kismayo wanatorokea Northern Somalia rural areas...hehe!! yaani wanajshi wale wanatisha mpaka hawa wanyama...
 
Kulinganisha TPDF na KDF ni sawa na kulinganisha TPDF na mgambo Wa Tz, haviez lingana hivi vitu..
tena nafikir tukipeleka mgambo wetu Somalia hiyo vita itaisha ndani ya siku 2/3
Hivyo mgambo wetu ni bora Mara 10 kuliko KDF
bla bla bla nyingi tu....unajua kuongea ni rahisi sana...kisha wacha ushamba tumia Google...fanya research...top militaries in africa kisha uje uniambie ulichopata...yaani hamna cha tanzania popote....domo domo tu...duh! waswahili mnachekesha nyie
 
movie sio?? ww unafikiri alshabaab wako kule wanacheza kati...hawa jamaa wanachinja watu vichwa kila siku....lakini wakisikia KDF imetua Kismayo wanatorokea Northern Somalia rural areas...hehe!! yaani wanajshi wale wanatisha mpaka hawa wanyama...
Kwikwikwikwikwi

Soma hapa kidogo upate elimu:

VICTORIA, Seychelles -- Loyal Seychelles soldiers backed by Tanzanian troops quashed a two-day rebellion of army dissidents Wednesday, freeing hostages and recapturing vital installations without firing a shot.

Loyal Seychelles soldiers backed by Tanzanian troops quashed a...
 
sasa hii pia ni vita? lol! Annael wacha masihara....ww itabidi tukupeleke kule Churchill uchekeshe wakenya...vita ni vile viliopo Somalia...si watu wawili waligombana kule ushelisheli kisha mnatuambia eti jeshi la tanzania lilitatua mgogoro...sijui mgogoro wa ardhi...tell me about terrorists or fighting rebels...wale jamaa shabaab ni wanyama na katili sana...i doubt huko Seychelles kulikua na jambo serious kama ile iliopo Somalia...
 
kwani ww kipofu?? pale somalia na sudan kusini wanalisha ng'ombe au? nyi mna uzoefu upi?? nchi imetulia sana...hakuna threat from within or without...tanzania has never gone to war...my friends, huwa mnapenda majivuno ila hamna chochote...nenda Google just search most powerful african militaries...kisha uje uniambie...hata nashuku hizo missile launchers hamjui kutumia...
Jay456watt, kama uzoefu ni kigezo cha uimara wa Jeshi, basi Tanzania inaongoza Afrika, hakuna nchi yoyote iliyopigana vita vingi kama Tanzania, tangu Tanzania imepata uhuru jeshi lake limekua likizunguka katika nchi nyingi kushiriki katika vita mbalimbali kuanzia sychells na karibu nchi zote za kusini mwa afrika, hivi karibu limekua Comoro, huko Congo, Lebanon na Darfur, na hivi bila kusahau vita vya Uganda, kumbuka vita hivi ni vita kati ya jeshi na jeshi, yaani professional war, tena huko kusini mwa afrika JW lilikua likipambana na majeshi yaliyokua na silaha bora zaidi kuliko JW, kwa mfano wareno kule msumbiji, uzoefu gani tena inaoulizia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hii pia ni vita? lol! Annael wacha masihara....ww itabidi tukupeleke kule Churchill uchekeshe wakenya...vita ni vile viliopo Somalia...si watu wawili waligombana kule ushelisheli kisha mnatuambia eti jeshi la tanzania lilitatua mgogoro...sijui mgogoro wa ardhi...tell me about terrorists or fighting rebels...wale jamaa shabaab ni wanyama na katili sana...i doubt huko Seychelles kulikua na jambo serious kama ile iliopo Somalia...
Kwikwikwikwi. Soma maelezo acha kujifanya kama huelewi.
Kisha soma na hapa:
Hizi ni baadhi ya operation tu.
List of wars involving Tanzania - Wikipedia
 
Soma taatifa hapa za TZ. Nadhani huwa unasikia tu:

Tanzania to Command AU Anjouan Invasion Force
nimesoma na ilkua misheni ya kutatua mgogor kule Comoros...sasa swali ni hili, unajua Comoros ina population gani? yaani hata ni watu wa kuhesabika,...hamna pale threat ya kupeleka jeshi hapo...hata sasa nimedharau TPDF zaidi...yaani mnaplekwa Comoros badala ya Nchi kama Somalia....by the way, somalia ni kama Afghanistan, Iraq, Libya or maybe even worse...kisha ww unaniambia eti TDPF walipelekwa Comoros, kanchi ka watu wa kuhesabika...lol!!! wanajeshi walienda kubangaiza tu kule...hamna vita iliopo kule...
 
bla bla bla nyingi tu....unajua kuongea ni rahisi sana...kisha wacha ushamba tumia Google...fanya research...top militaries in africa kisha uje uniambie ulichopata...yaani hamna cha tanzania popote....domo domo tu...duh! waswahili mnachekesha nyie
Nchi za ki-Afirica nyingi kama ilivyo Tz hazi-expose mambo yao ya kijeshi, na hata budget yake haiwekwi wazi.. Waulize wazungu waliotupa kaz ya kumfurumisha M23 Siku ya kwanza/ya pili/ya tatu hatujasikiaga tena hiz Jamaa sumbufu
 
nimesoma na ilkua misheni ya kutatua mgogor kule Comoros...sasa swali ni hili, unajua Comoros ina population gani? yaani hata ni watu wa kuhesabika,...hamna pale threat ya kupeleka jeshi hapo...hata sasa nimedharau TPDF zaidi...yaani mnaplekwa Comoros badala ya Nchi kama Somalia....by the way, somalia ni kama Afghanistan, Iraq, Libya or maybe even worse...kisha ww unaniambia eti TDPF walipelekwa Comoros, kanchi ka watu wa kuhesabika...lol!!! wanajeshi walienda kubangaiza tu kule...hamna vita iliopo kule...
Haikuwa mission my friend. Rais wa comoros alikuwa amepinduliwa.
Huyu alisurubiwa kwa kufanya mapinduzi (comoros)

1083054-3x2-940x627.jpg

ODU0325_P1.jpg
 
Nchi za ki-Afirica nyingi kama ilivyo Tz hazi-expose mambo yao ya kijeshi, na hata budget yake haiwekwi wazi.. Waulize wazungu waliotupa kaz ya kumfurumisha M23 Siku ya kwanza/ya pili/ya tatu hatujasikiaga tena hiz Jamaa sumbufu
hahahaha....excuses...hamna nchi inayoweka nguvu zake za kijeshi kuwa siri...leta proof basi ndio nikuamini...yaani ulete proof kuwa serikali ya Tanzania inaficha nguvu zake za kivita toka kwa umma...nchi huwa zinajaribu kuonyesha kuwa ni kali kivita...sio kuficha....waone North Korea....kanchi kadogo tu ila inawakosesha Marekani, China na Russia usingizi...wanashinda wakitupa missiles kila uchao....jamaa nchi huwa hazifichi nguvu, instead huwa zina exaggerate nguvu zake za kijeshi ili kutisha magaidi na adui...
 
hahahaha....excuses...hamna nchi inayoweka nguvu zake za kijeshi kuwa siri...leta proof basi ndio nikuamini...yaani ulet proof kuwa serikali ya Tanzania inaficha nguvu zake za kivita toka kwa umma...nchi huwa zinajaribu kuonyesha kuwa ni kali kivita...sio kuficha....waone North Korea....kanchi kadogo tu ila inawakosesha Marekani, China na Russia usingizi...wanashinda wakitupa missiles kila uchao....jamaa nchi huwa hazifichi nguvu, instead huwa zina exaggerate nguvu zake za kijeshi ili kutisha magaidi na adui...
Leta proof mbona uko kimya leta information zenu tuone jeshi lenu liko juu.
Kelele nyingi tu matokeo zero. Hakuna operation yoyote kenya imewahi kufanikiwa.
Hamna experience yoyote. Ni makelele ya vyura tu

This is Tanzania

upload_2017-9-11_15-15-46.png
 
Back
Top Bottom