Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Vile nchi inadevelop Kila ministry budget huongezeka,
Scandinavian countries hawana tishio but juu wako rich,kila idara iko na more cash...
Hizo zipo karibu na russia,nato ngome yao kubwa kikiwaka na russia ni hizo nchi,usilete mifano ya vitu usivyovijua mkuu
 
Elimu, Afya,Kilimo,Usafiri, Usalama, GDP(uchumi) kote kote tunaongoza ukanda huu bila ushindani. Wenye wivu wakule kinyesi afu wakalale.
 
Mgagaa na upwa tuambie nani anamtisha bwana wenu SA?
 
Karne hata US inatiwa ndole na Taliban na Al Qaeda vile vile KDF na al shab vile vile TPDF na vijana wa mipanga...lazima casualties ila yenu ni ya kutia huruma kutwangwa na wabeba mapanga mkiwa fully armed.
 
Hakuna nchi ambazo urusi anaongoza kuzifanyia ujasusi kama hao Scandinavia countries

Pia hawa Scandinavia ni pro usa lzm wajipange

Kubwa zaidi hao ni donar countries pia vikosi vyao vya ulinzi vinawajibika kuwapa ulinzi raia ambao wapo hata nje ya nchi zao
Nchi maskini kama Rwanda unatarajia wawe na budget kubwa Kwa major ministries like education,health,security,,,,
 
Nani anatishia south Africa sasa?
Inatishiwa na wahamiaji haramu kutoka nchi mbalimbali africa wanaoenda kutafuta msisha ...... pia kule kuna wale watu weusi ambao wanaanxishaga fujo tu muda wowote sasa hapo lazima jeshi lao lifanye kazi ya kulinda usalama wa ndani na nje unaopelekea matumizi makubwa ya pesa [emoji102]
 
Nchi maskini kama Rwanda unatarajia wawe na budget kubwa Kwa major ministries like education,health,security,,,,
Rwanda ina maadui wengi saana mfano fdlr,rnc,burundi lkn wapo vizuri na wemeweza kuwadhibiti hao wasumbufu pamoja na kuwa na budget finyu kwenye jeshi

Ila Kenya pamoja na kuwa na budget lumbesa lkn al shabab bado ni tishio kwa Kenya
 
Elimu, Afya,Kilimo,Usafiri, Usalama, GDP(uchumi) kote kote tunaongoza ukanda huu bila ushindani. Wenye wivu wakule kinyesi afu wakalale.
Big military budget, but Galana kulalu which is a noble project gets nothing, "that is the real meaning of failed state"
 
Rwanda ina maadui wengi saana mfano fdlr,rnc,burundi lkn wapo vizuri na wemeweza kuwadhibiti hao wasumbufu pamoja na kuwa na budget finyu kwenye jeshi

Ila Kenya pamoja na kuwa na budget lumbesa lkn al shabab bado ni tishio kwa Kenya
Adui wagani hao,,,kama si terrorists hao ni adui fake wa kawaida.
Ati Burundi sijui fdlr..hao ni sawa Na sabaot land defense wa mount Elgon
 
Kubangua koroshow ama vipi failed state joto la jiwe?
 
chilubi AK47 inatumika hadi pale Afghanistan hebu Muulize marines wa marekani. Wacha mapanga ya kongo dhidi ya dhaifu jwtz.
 
chilubi AK47 inatumika hadi pale Afghanistan hebu Muulize marines wa marekani. Wacha mapanga ya kongo dhidi ya dhaifu jwtz.

Wale marines wakitaka kumaliza misheni yao Afghan wanaweza mara moja. Vita ikiisha pale watakuwa wamepoteza mteja wa kuwauzia silaha kwaio lazima waifanye iendelee ili kuendelea kuuza silaha na vile vile pana mali pale ambapo pakiwa stable alopeleka marines anahofu ya kutozipata. kwaio lazima ahakikishe pale penye maslahi panakuwa destabilised ili kwake iwe rahisi. Usisahau kuna Russia nae anapatolea macho.

Hata wewe ukiwa umekaa hujajitaarisha uko na ki short chako mwenye mapanga atakumaliza tu.

Security wa nchi nzima kuanzia wa serikali mpaka private pale Wastegate waliishia kuiba vitu supermarket. Endeleeni kununua silaha afu uku bado mnadundwa tu. ndio mtajua kuwa kumiliki silaha nyingi sio kushinda vita.
 
Kwa hiyo hela ugetarajia kdf kuwana su-30 kama hizi za uganda angalau 30 hivi👇👇
su-30-mk2-169-uganda.jpg

Lakini kwa ufisadi uliotia mizizi kinacho onekana ni huu ukuta(fence) ya border ya somalia uliogarimu 10bn yaani ksh 10m per meter😂😂😂😂👇👇👇
large-545x301.jpeg
 
chilubi mkaa utauzwa na nani kdf wakimaliza vita som? Dhaifu jwtz huwa hawako makini vitani ndo maana mapanga yakatembea ila wako makini kubangua korosho.
 
chilubi mkaa utauzwa na nani kdf wakimaliza vita som? Dhaifu jwtz huwa hawako makini vitani ndo maana mapanga yakatembea ila wako makini kubangua korosho.
Inabidi ulitaka jesho akienda kuoga awe na bunduki kaivaa begani ndio tuseme "yupo makini" Hao wakwenu wenye vifaa vya "kisasa" na majigambo yote mlokuwa nayo tumewaona umakini wao pale wastegate, wamepata opportunity na wakaitumia vizuri kujipatia mentos na vyengine ndani ya Supermarket.

Katika watu wanaotakiwa kujisifia Majeshi yao nyie ni wa kukaa kimya! Kikosi cha majambazi
 
Back
Top Bottom