Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hizo zipo karibu na russia,nato ngome yao kubwa kikiwaka na russia ni hizo nchi,usilete mifano ya vitu usivyovijua mkuuVile nchi inadevelop Kila ministry budget huongezeka,
Scandinavian countries hawana tishio but juu wako rich,kila idara iko na more cash...
Hivi kdf ndo wale wezi wa biscuit na ice creams Westgate ilipovamiwa?Karne hata US inatiwa ndole na Taliban na Al Qaeda vile vile KDF na al shab vile vile TPDF na vijana wa mipanga...lazima casualties ila yenu ni ya kutia huruma kutwangwa na wabeba mapanga mkiwa fully armed.
Nchi maskini kama Rwanda unatarajia wawe na budget kubwa Kwa major ministries like education,health,security,,,,Hakuna nchi ambazo urusi anaongoza kuzifanyia ujasusi kama hao Scandinavia countries
Pia hawa Scandinavia ni pro usa lzm wajipange
Kubwa zaidi hao ni donar countries pia vikosi vyao vya ulinzi vinawajibika kuwapa ulinzi raia ambao wapo hata nje ya nchi zao
Inatishiwa na wahamiaji haramu kutoka nchi mbalimbali africa wanaoenda kutafuta msisha ...... pia kule kuna wale watu weusi ambao wanaanxishaga fujo tu muda wowote sasa hapo lazima jeshi lao lifanye kazi ya kulinda usalama wa ndani na nje unaopelekea matumizi makubwa ya pesa [emoji102]Nani anatishia south Africa sasa?
Rwanda ina maadui wengi saana mfano fdlr,rnc,burundi lkn wapo vizuri na wemeweza kuwadhibiti hao wasumbufu pamoja na kuwa na budget finyu kwenye jeshiNchi maskini kama Rwanda unatarajia wawe na budget kubwa Kwa major ministries like education,health,security,,,,
Big military budget, but Galana kulalu which is a noble project gets nothing, "that is the real meaning of failed state"Elimu, Afya,Kilimo,Usafiri, Usalama, GDP(uchumi) kote kote tunaongoza ukanda huu bila ushindani. Wenye wivu wakule kinyesi afu wakalale.
Adui wagani hao,,,kama si terrorists hao ni adui fake wa kawaida.Rwanda ina maadui wengi saana mfano fdlr,rnc,burundi lkn wapo vizuri na wemeweza kuwadhibiti hao wasumbufu pamoja na kuwa na budget finyu kwenye jeshi
Ila Kenya pamoja na kuwa na budget lumbesa lkn al shabab bado ni tishio kwa Kenya
Kubangua koroshow ama vipi failed state joto la jiwe?
Al shabbab wanatumia AK47.... wamewatoa kijasho pale Wastegate!Karne ndio sababu TPDF wanabangua korosho?
chilubi AK47 inatumika hadi pale Afghanistan hebu Muulize marines wa marekani. Wacha mapanga ya kongo dhidi ya dhaifu jwtz.
Inabidi ulitaka jesho akienda kuoga awe na bunduki kaivaa begani ndio tuseme "yupo makini" Hao wakwenu wenye vifaa vya "kisasa" na majigambo yote mlokuwa nayo tumewaona umakini wao pale wastegate, wamepata opportunity na wakaitumia vizuri kujipatia mentos na vyengine ndani ya Supermarket.chilubi mkaa utauzwa na nani kdf wakimaliza vita som? Dhaifu jwtz huwa hawako makini vitani ndo maana mapanga yakatembea ila wako makini kubangua korosho.