Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
El adde kdf ilikuwa na battalion nzima lkn askari wa kdf waliopona ni 40 tuKwani unaelewa mtu akiwa Off Duty? Kweli KDF kazi yake sio kulinda Wastegate, waliitwa kusaidia kuiba tu au sio? Btw watakufaje na magaidi wakati walikuwa wanajificha kwa woga? 😀
Kituo cha polisi sio kambi ya jeshi linalohusika kulinda amani ya taifa.
Eti ile Battle of El Adde mlikuwa mpo on guard? au mlikuwa mmelaliana kwenye camps?
Hahahahaha, ninakushukuru kwakuwa mkweli kwamba bila mkopo hamuwezi kufanya lolote. Sasa mtafanyaye baada ya Mchina kukataa kuwapa pesa ya kumalizia hadi Malaba, vipi mshindwe kumalizia kipande kidogo kilichobaki wakati ninyi ni " mido inkamu kantri?"joto la jiwe km600 tumejenga kwa mikopo nyinyi mnajenga kwa "pesa za ndani" ila bado hata km1 ni ngumu kuiona. Back to the topic ya dhaifu jwtz wabangua korosho vs KDF wauza mkaa na sukari.
Ninyi budget yenu kubwa vipi hamna ndege hata moja ya kivita?, budget kubwa ya MAJI lakini Nairobi MAJI ni mgao. Kenya hata mkiwa na budget ya $1trl, hamuwezi kufanya lolote, very corrupt country na uwezo wenu wa akili ni mdogo sana kuweza kuwa na plans za maendeleowilson255 budget yenyu ya jwtz ni ngapi ukilinganisha na ya Uganda afu uniambie updf hawatawachapa ka burukenge?
Hahahahaha, KDF mpo na very old F-5 zilizotengenezwa 1950s, zilikua 7 moja ilidunguliwa na Alshabab zimebaki 6 na zote zipo katika hali mbaya sana hazina uwezo wa kuruka tena.joto la jiwe tuko na zaidi ya 30 jets sidhani nyie hata moja mko nayo ama uweke ushahidi ya hata hio moja.
Hamna akili ndio sababu lazima tuwasaidie. Hivi katika kipindi kibaya kama hiki ambapo nchi yenu inakabiliwa na njaa, madeni, ukosefu wa ajira, China kukataa kuwapa mkopo na kulazimika kusitisha ujenzi wa SGR, eti mnasifia budget kubwa ya military. Failed state.joto la jiwe pia wewe kuwa mkweli kuwa hapa unabadilisha magoli, tupo kwenye mada ya dhaifu jwtz kuwa na budget hovyo. Afu pia kubali kwa "kwa pesa zetu za ndani" hamna kitu mshakamilisha awamu ya tano.
Back to topic my friend.
Naona unatafuta bwana TZMAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.
Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
Mkuu unamaanisha askari 800 walipona 40?El adde kdf ilikuwa na battalion nzima lkn askari wa kdf waliopona ni 40 tu
Zile mlipewa msaada ilikukabiliana na alshabab ambao bado wana wahanithi?joto la jiwe tuko na zaidi ya 30 jets sidhani nyie hata moja mko nayo ama uweke ushahidi ya hata hio moja.
na ndio maana akaacha kunimention au kureply post. Kumbe anaona aibu jeshi lake lipo on guard limemalizwa halafu anataka kufananisha na watu waliokuwa off duty.El adde kdf ilikuwa na battalion nzima lkn askari wa kdf waliopona ni 40 tu
Unashangaa? Al shabbab wawili tu wamewashinda pale Wastegate, wamepeleka KDF nzima na private securities lakini wameishia kutoka na mifuko ya lotion na fresh juiceMkuu unamaanisha askari 800 walipona 40?
Ndio maana nikasema hawa KE saizi yao RwandaUnashangaa? Al shabbab wawili tu wamewashinda pale Wastegate, wamepeleka KDF nzima na private securities lakini wameishia kutoka na mifuko ya lotion na fresh juice
Ni swala la kujiuliza why Google waliamua kufuta hilo shambulio kwenye mtandaoMkuu unamaanisha askari 800 walipona 40?
na ndio maana akaacha kunimention au kureply post. Kumbe anaona aibu jeshi lake lipo on guard limemalizwa halafu anataka kufananisha na watu waliokuwa off duty.
Wenye kuleta uzi wamekimbiaNi swala la kujiuliza why Google waliamua kufuta hilo shambulio kwenye mtandao
Pale ulifanyika unyama wa hali ya juu zaidi kuwai kutokea