Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Kwa hiyo unataka kusema kwenye el ade battle hamkuwa na silaha. East Africa nzima jeshi lenu no dhaifu hata muwe na bajeti ya matrilion vita ni ujuzuzi jirani
 
Richard irakunda masaa 13 watoto wa mapanga wanawashambulia na kuwamaliza?
Nawaambia kama nyie ni wanaume kama the rest of EAC muwapeleke dhaifu jwtz pale jubaland mpambane kama wenzenu, ama ni vile hamna hela lazima mshikiliwe na UN ama ni uoga tu? ni moja kati ya hizo.
 
joto la jiwe dhaifu jwtz ina jet ngapi na gani na za mwaka gani? 😀😀
Fursakibao kama vita ni ujuzi na mapanga yanawashinda, je mabomu na wajitoa mhanga mtaweza kweli? FFU yenu inawapeleka wanaume wala chipsi mayai hadi mvunguni mwa vitanda, mnabanguliwa korosho na rag tag army ama hiyo ndio expirience?
 
Hatuingilii ugomvi wa majirani. Acha mtandikwe tu. Ukiulizwa mlichifata somalia utajibu?
 
Mko wapi kwani mnatoroka ama mumekwenda kuita reinforcment ki-panga boyz?
 
Umeulizwa swali ukienda kuoga unaoga na bunduki?
 
Fursakibao ati nini na mnafanya nini kongo? Haya basi kabangueni korosho

Ati kuoga vitani kwani ni beauty contest? Wewe unafikiria maharamia na magaidi wana hayo mafikra ya kuoga? Bure kabisa kumbe jwtz ni mabinti haikosi hiyo siku ya mapanga hayo masaa 13 walikuwa wanaf***a na watoto mapanga 😀😀
 
Jw ilishambuliwa kwa masaa 13 lkn hawakupoteza vifaru wala mizinga na Vifo vilikuwa ni 14 tu pia jw wakiwa drc hawaruhusiwi kujibu mashambulizi

Kdf el adde Vifo vilikuwa vingap?
Na ilipoteza vifaru vingapi na deraya ?
 
Jw ilishambuliwa kwa masaa 13 lkn hawakupoteza vifaru wala mizinga na Vifo vilikuwa ni 14 tu pia jw wakiwa drc hawaruhusiwi kujibu mashambulizi

Kdf el adde Vifo vilikuwa vingap?
Na ilipoteza vifaru vingapi na deraya ?
Ingieni Somalia ndio tuwaheshimu,
Mambo Na congo sijui Zaire ni upuzi tu.
 
Hivi njaa iliyokuwa inawanyoosha hawa jamaa imeshaisha??

Baba mwenye nyumba unanunua silaha wakati watoto wanalala na njaa..KENYA MJITATHIMI.
 
Hahahahaha, KDF mpo na very old F-5 zilizotengenezwa 1950s, zilikua 7 moja ilidunguliwa na Alshabab zimebaki 6 na zote zipo katika hali mbaya sana hazina uwezo wa kuruka tena.
Pumba za aina hii kawahadithie mapimbi wenzako mkinywa kahawa vijiweni. Soma hapa inventory ya 2017 kuhusu ndege walizonazo kitengo cha angani cha KDF, yaani KAF(Kenya Airforce). Alafu vitu vingine vipya vimeongezwa 2018/19. >>>https://intelligencebriefs.com/tag/kenya-air-force-aircraft-inventory/
 
Silaha bila moyo siyo Kitu. Bwana 1978 Uganda wakuwa na JESHI nzuri Sana EAT. Wakavamia TANZANIA Wakidhani wangewashinda kurudi na Zana zao. Wakasahau Moyo na Uzalendo. Na Kenya hivyo hivyo. Bila ya kuacha UKABILA Akuna Kitu
 
Onyesha idadi ya fixed wings attack planes za KDF zaidi ya F-5 tena za kizamani sana. Lete link inayoonyesha fighter jets za KDF. Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha. Hata hujui uwezo wa jeshi lenu.
Nimekuekea link hapo, ambayo inaonesha inventory kamili ya Kenya Air Force. Kama huelewi maana ya inventory pambana na hali yako, sina huo muda wa umbea umbea.
 
Nimekuekea link hapo, ambayo inaonesha inventory kamili ya Kenya Air Force. Kama huelewi maana ya inventory pambana na hali yako, sina huo muda wa umbea umbea.
Hahahahaha, niambie Kenya ina fighter jets ngapi?
1) Uganda ...SU 30 wanazo SIFA(Third generation)
2)Tanzania ...J-7 zipo 14(Third generation)
3)Kenya ..... F-5 zipo 6(Second generation)

Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…