Wanafikiri ukubwa wa pua ndio wingi wa mafua!Jw ilipoteza askari 14 kwenye ambush ya masaa 13 ambayo kisheria jw hawakutakiwa kujibu mashambulizi zaidi ya kujirinda tu kinachoshtua zaidi washambuliaji inasemekana ni special force .......
Lkn KDF walishambuliwa kwa nusu saa tu battalion nzima wakapona watu 40 na magaidi wateka vifaru na mizinga
Unataka uione angani hiyo Sgr au uletewe nyumbani ktk bakuli?πππjoto la jiwe km600 tumejenga kwa mikopo nyinyi mnajenga kwa "pesa za ndani" ila bado hata km1 ni ngumu kuiona. Back to the topic ya dhaifu jwtz wabangua korosho vs KDF wauza mkaa na sukari.
Kisiwa cha amani hakihitaji vita zisiso na maana na bajeti ni kwa huduma muhimu kwa wananchi na si kununua silaha za kifahari huku ugali ni kwa mgaojoto la jiwe pia wewe kuwa mkweli kuwa hapa unabadilisha magoli, tupo kwenye mada ya dhaifu jwtz kuwa na budget hovyo. Afu pia kubali kwa "kwa pesa zetu za ndani" hamna kitu mshakamilisha awamu ya tano.
Back to topic my friend.
Ukiletewa video unataka picha ukiletewapicha unadai low quality sasa subiri kwanza tutokezee ngambo ya pili utaiona brooNdughuri msuyia nataka nione kwa picha hata kama utanitumia kwa bakuli.
Pumba za aina hii kawahadithie mapimbi wenzako mkinywa kahawa vijiweni. Soma hapa inventory ya 2017 kuhusu ndege walizonazo kitengo cha angani cha KDF, yaani KAF(Kenya Airforce). Alafu vitu vingine vipya vimeongezwa 2018/19. >>>https://intelligencebriefs.com/tag/kenya-air-force-aircraft-inventory/
[/QUOTE
Achana na JWTZ tumekomboa kusini mwa Africa na nchi nyingi Sembuse mmeshidwa Somalia mwaka wa nane sasa. Rudini msione aibu